Daah tatizo mkuu hapa mjini shida kuwatambua ndugu wanaweza kujitokeza matapeli sababu jamaa tulikutana nae bar akasema anajenga akimaliza Mimi nihamie kama mpangaji wake Nikalipia miezi 6 ndio mwezi wa 4 akafariki
Sasa mzee Mimi kwani ndio nimeua mpaka useme nipate laanaKama una namba ya simu ya jamaa, ukitumia hiyo namba tu, utapata mpaka anapoishi na mtaa, kama una nia hiyo. Na hata ndugu zake utawapata. Tafuta familia yake wape nyumba na kiwanja chao, fanya ujanja ujanja ulaaniwe wewe na kizazi chako. Nyumba haiokotwi.
Hujaua, lakini unapotaka kujimilikisha kitu ambacho una jua kabisa sio haki yako, una tofauti gani na mwizi au jambazi?Sasa mzee Mimi kwani ndio nimeua mpaka useme nipate laana
Kwa hiyo umeokota nyumba?Hauwajui ndugu zake?Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Hauwajui, lakini unasikia amefariki tena ghafla. Na kusikia ni mpaka usikie kwa mtu anaongea. Anayeongea anamjua mtu aliongea ama alishuhudia.Sasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie suprise
Mwenge Dar ilikuwepo moja madalali walitaka kuiuza baada ya mwenye nyumba kufariki na familia hawaijui. Mpangaji aliondoka.Wanaokoteza stori za Instagram uko wanatufanya sisi watoto wadogo 😃
Kwani mtu anapata faida gani kuwa muongo ???
Kuna jamaa yangu zamani kidogo alikuwa ndo kaachiwa kukusanya kodi na kumpelekea mwenye nyumba. Sasa jamaa akakaa miaka 2 hapati mwenye nyumba, àkamtafuta kumbe akilishafariki na wenyewe hawajui kuhusu hiyo nyumba. Jàmaa aliambulia kodi tuu wenyewe wakàja wakauza nyumba hadi leo anajuta.Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia fununu ndugu wameshagawana Mali zake ila hii hawaijui hii nyumba alikua anafanya Siri sababu ni mpya imezinduliwa mwaka huu naomba muongozo jinsi ya kupata hati miliki ya hii nyumba wakuu
Ndio mkuu siwajui na hawanijuiKwa hiyo umeokota nyumba?Hauwajui ndugu zake?
Ndugu huwajui wapi bwana sema tu ukweli roho imeshakuingia tamaa unaona umeshapata nyumba bure.Sasa ndugu siwajui na yeye alikua anasema ni Siri anataka awafanyie suprise
Hao "maboss wenzie" ndo watatoboa "siri", ni suala la muda tu...nikasikia kafariki baada ya kupata taarifa kutoka Kwa maboss wenzie
Haipatikani
Mimi Sina miaka 3 naona kama umechanganyikiwa hivi[emoji706]View attachment 3174402
Sina miaka 3 Mimi naona kama umechanganyikiwa hivi
Huyo alioniambia nae anasema alisikika jujuuu bar jamaa wanazungumza na yeye ndugu hawajui na pia unaweza kukurupuka kumbe matapeli wa mjini sio ndugu zakeNdugu huwajui wapi bwana sema tu ukweli roho imeshakuingia tamaa unaona umeshapata nyumba bure.
Main post umesema umesikia fununu ndugu wameshagawana mali ungekuwa na nia kweli ya kutodhulumu hiyo nyumba si ungewaambia hao waliokupa fununu wakawaambie bado nyumba moja hawajaigawana?