Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Pole sana moyo wa mtu ni kichaka hujui ana waza nini moyoni mwake, Mungu akusaidie uweze kutimiza haja yako ya kufunga ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni ukristo tu ndio unaruhusu mama!Na kumbe uislamu unaruhusu kufunga na kuishi na mtu huku hamna ndoa. Hata mimi nabadilia dini soon
Pole sana moyo wa mtu ni kichaka hujui ana waza nini moyoni mwake, Mungu akusaidie uweze kutimiza haja yako ya kufunga ndoa.
Kama mmefika huko usije ukajichanganya bora kuendelea nae.Alifariki ila tunategemea kupata mwingine soon Mungu akipenda[emoji2972]
For 6 good years a woman dating a man, might prove worthy to be love of his life a man was looking for the same 6 years... It all depends what the future hold...'A man can date you for 6 good years while looking for the love of his life'
-Unknown.
Moja ya msingi mkuu wa dini ya kiislamu ni subira,vuta subiraHabari zenu wanajf
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja
Swala lililonileta kwenu
Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote
Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti
Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie
Simuelewi!!! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini
Let me be very honest with you,kwanza hujafunga mkuu,mmekuwa mkishinda njaa.Zinaa ni haramu mkuu,uliyezini mchana mwezi wa ramadhan au usiku wa ramadhan,ukizini mchana wa ramadhan adhabu yake ufunge miezi miwili mfululizo au kuwalisha maskini 60.Na ukizini usiku wa ramadhan kabla ya kuanza wakti wa kuanza kufunga,inaweza swaumu yako isiswihi na mwenyezi Mungu ndiye anayewatakabalia watu na amesema anawatakabalia tu wacha Mungu,je Mzinifu ni mcha Mungu?Hakika Mzinifu sio Mcha Mungu.
Zinaa inahalalishwa kwa kufunga ndoa?
Acheni kumchezea Muumba wenu ninyi. Mnakaa kwenye zinaa na kuishi maisha ya zinaa, hamjui kuwa mmeambiwa "ikimbieni zinaa"?
Kwanini usiache zinaa kwanza kisha ndio uitafute hiyo ndoa. Kama unajitambua na una hofu ya MUNGU, basi ondoka kwa huyo Mwanaume, jitenge na zinaa. Kama ana nia na wewe atakuja kuleta mahari kwenu na atakuoa.
Lakini kama hauna hofu ya MUNGU, basi wewe endelea na zinaa yako. Utavuna unachokipanda sasa hivi.
Basi mshkaji anazingua. Ila atakuoa tu kuwa na subra.Alishazaliwa mbona
Huyu wa pili
Why are you wasting yourself with someone who doesn't appreciate you?Umejirahisisha Kuishi naye,thamani yako haioni,anakuona wa kawaida sasa.Kama kitu kinapatikana rahisi thamani yake inashuka.Unajua hata Roho ingekuwa inauzwa dola milioni moja thamani yake tayari inakuwa chini?kivipi?kwa sababu kuna watu wangekuwa wanazinunua na kuwa miungu watu.Ushauri wangu hautakuwa mzuri kwako au unaoupenda wewe.Ikimbieni zinaa maana niuchafu,Ushauri wangu achana naye kabisa,usichukue space yoyote,tell him its over,najua umepoteza muda,lakini hakuna guarantee kwamba hautapoteza muda zaidi kwake.Kama Mungu amepanga uolewe utaolewa na kama hajapanga zidi kumuomba utapata ndoa.Ni kweli m mwenyewe nafsi yangu inanisuta