Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Mwanaume alazimishiwi kuoa.

Kuna vitu vitatu vinachangia mwanaume aoe na vyote ni MUHIMU sana
1. Hali ya maisha yake
Sasa hapa kipimo anacho mwenyewe kichwani.Yeye ndo anajua kwamba kwa uwezo huu wa kifedha naweza kumudu familia na sio wewe jinsi unavyompimia.

2. Mwanamke sahihi
Unaweza kuwa na mwanaume ht miaka 5 na usiwe sahihi niamini mimi kwa hili. Wanaume hatupimi ubora wa penzi kwa miaka tuliyodumu na mwanamke bali kwa ubora wa penzi hasa kwenye ishu ya ku maintain heshima yako kwake na usaliti.Unaweza kudumu nae ht miaka 8 ila km ulishawahi msaliti au mdharau jua ndoa inaweza isiwepo pamoja na miaka yenu 50 ya mahusiano
3. Umri na Utayari wa kuoa
Km hatupo tyr uwaga hatupo tayari tu.Haijalishi nina mwanamke sahihi na nina uwezo wa kumuhudumia.SIPO tayari kuvamia stress za ndoa.

Swali langu ni moja tu na ujijibu mwenyewe.Mpaka mkafikia kukaa pamoja nani hasa alitaka???Usigekuwa ni mzigo hapo hlf hujijui.Wanaume tuna huruma ni kazi kumfukuza mwanamke aliyehamia ht km hatujapenda kbs.

Mwisho kuanzia leo usizungumzie kuhusu kuolewa yaani leo ndo iwe mwisho. Pili Km huwezi kuacha kuzungumza kuhusu ndoa basi fanya jaribio kuu la kujua km wewe ni wa kuolewa nae au si😵ndoka hapo nyumbani rudi kwenu na sababu iwe ungependa uishi na mwanaume aliyekuoa kwahiyo km hayupo tayari basi unarudi kwenu mpk atakapokuwa tyr ila jiandae kujua ukweli halisi why hataki kuoa na ukweli uwaga mchungu.

Kimaisha yuko vizuri tu na mimi wala sio tegemezi kwake kila mtu anakazi zake (tunasaidiana)

Usahihi (hapo anajua yeye sasa maybe ameona mimi sio sahihi kwake)

Umri ana 35 mimi niko na 25yrs, naona hapo kwenye utayari wa kuoa kwake yeye mwenzangu bado

Kuishi pamoja, alinikuta najitegemea na yeye alikua anajitegemea, mawazo yake akasema tutafute nyumba kubwa tuishi pamoja hatukua na muda mrefu tangu tuanze mahusiano almost a month tu hivj, so kuanzia hapo hadi sasa tunaishi pamoja mkoa x

Kuzungumzia ndoa
Nimeacha

Ila as wapenzi ni kitu ambacho naona kinaniumiza na yeye ukitaka akose raha basi zungumzia kuhusu ndoa siku nzima atashinda hana furaha kwahiyo kauli yangu ya mwisho nilimwambia sitozungumzia tena kuhusu ndoa ye mwenyewe akiona sasa yuko tayari sawa

Ila ndani kwa ndani naumia sana, kuna leo na kesho hatuijui kesho yetu na bado tunazaa binafsi sipendi lakini sasa sina uwezo wa kulizuia hilo[emoji17][emoji17] sitaki hata sherehe nimemwambia tuhalalishe tu hata watoto wae wa ndani ya ndoa na tuwe tumekamilisha angalau nusu ya dini inavyotaka
 
Why are you wasting yourself with someone who doesn't appreciate you?Umejirahisisha Kuishi naye,thamani yako haioni,anakuona wa kawaida sasa.Kama kitu kinapatikana rahisi thamani yake inashuka.Unajua hata Roho ingekuwa inauzwa dola milioni moja thamani yake tayari inakuwa chini?kivipi?kwa sababu kuna watu wangekuwa wanazinunua na kuwa miungu watu.Ushauri wangu hautakuwa mzuri kwako au unaoupenda wewe.Ikimbieni zinaa maana niuchafu,Ushauri wangu achana naye kabisa,usichukue space yoyote,tell him its over,najua umepoteza muda,lakini hakuna guarantee kwamba hautapoteza muda zaidi kwake.Kama Mungu amepanga uolewe utaolewa na kama hajapanga zidi kumuomba utapata ndoa.

Wanaume wenyewe wapo sasa??? Majanga matupu

Na kuachana na mtu ambaye mnaendana kwa asilimia kubwa sio rahisi kihivyo

Binafsi naona nijipe muda na sub’rah nimejiwekea miaka 3 ndani ya hiyo miaka3 nikiona bado hayuko tayari basi nitamuacha kiamani tu
 
Mkiwa mnaishi pamoja?Unajuaje sasa hivi kuna mtu anakuhitaji sana lakini anasema yule ni mke wa mtu?Subra haikai ndani ya zinaa.Kama mmeishi pamoja na mnaendana kwa nini hakuoi?Ukiumwa,mawazi,kodi na kadhalika anafanya,anapenda zinaa?Je mnaswali?Ukiwa karibu na Mungu hautazini,na usipozini utathamini ndoa.Maana kama una swali huwezi kuzini,Na inaonekana nyie mnaipenda zinaa au yeye anaipenda zinaa.Kuna rafiki yangu ana mke alafu akawa ana mwanamke mwingine hawara wake.Alimpangia chumba,kula,kulala,mavazi,maradhi vyote vinamuhusu jamaa.Pia alikuwa amezaa naye.Akaamua kumuoa nikamuuliza kwa nini unaoa mke wa pili?alinijibu kwamba kama kila kitu anafanya yeye kwa nini hamuoi?Anazini kwa sababu gani?Anzeni kuswali na kuwa karibu na Mungu,lakini kama hamswali ni bure.Imagine umetoka kuswali na unaimani alafu unazini?lazima ujiskie vibaya,ukijiskia vibaya utajinasua na zinaa,ukijinasua na zinaa eitha mtaachana au mtafunga ndoa.La mwisho.NYIE HAMUENDANI HATA KIDOGO,MNGEKUWA MNAENDANA MNGEFUNGA NDOA MKAIACHA ZINAA!Mpira upo miguuni mwako huhitaji ushauri.Njia zipo mbili,motoni milele au peponi milele!Chagua ndugu muislam
 
Hatuendani tusingekua wote sasa

Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae

Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
 
Nilisema Its up to you,lakini kwa imani ya dini huo ndio ukweli mchungu!
 
Habari zenu wanaJF

Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])

Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja

Swala lililonileta kwenu

Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki

Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane

Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie

Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini
dah pole sana, ila ulichobugi ni kuishi nae mama. anaona anapata kila kitu ya nini kifungo. Wanaume wachache sana wanaoa as kujua umuhimu wa ndoa, Ila wengi anaoa cause anahitaj vitu fulani kwa mwanamke na wewe ndo unampatia. Mi nngekua wewe ningekula aisee maana hapo unashinda njaa.
 
Mkiwa mnaishi pamoja?Unajuaje sasa hivi kuna mtu anakuhitaji sana lakini anasema yule ni mke wa mtu?Subra haikai ndani ya zinaa.Kama mmeishi pamoja na mnaendana kwa nini hakuoi?Ukiumwa,mawazi,kodi na kadhalika anafanya,anapenda zinaa?Je mnaswali?Ukiwa karibu na Mungu hautazini,na usipozini utathamini ndoa.Maana kama una swali huwezi kuzini,Na inaonekana nyie mnaipenda zinaa au yeye anaipenda zinaa.Kuna rafiki yangu ana mke alafu akawa ana mwanamke mwingine hawara wake.Alimpangia chumba,kula,kulala,mavazi,maradhi vyote vinamuhusu jamaa.Pia alikuwa amezaa naye.Akaamua kumuoa nikamuuliza kwa nini unaoa mke wa pili?alinijibu kwamba kama kila kitu anafanya yeye kwa nini hamuoi?Anazini kwa sababu gani?Anzeni kuswali na kuwa karibu na Mungu,lakini kama hamswali ni bure.Imagine umetoka kuswali na unaimani alafu unazini?lazima ujiskie vibaya,ukijiskia vibaya utajinasua na zinaa,ukijinasua na zinaa eitha mtaachana au mtafunga ndoa.La mwisho.NYIE HAMUENDANI HATA KIDOGO,MNGEKUWA MNAENDANA MNGEFUNGA NDOA MKAIACHA ZINAA!Mpira upo miguuni mwako huhitaji ushauri.Njia zipo mbili,motoni milele au peponi milele!Chagua ndugu muislam
Mama siku hizi una mikwara kuwasema wenzako mbona wewe ulivyozeeka ndiyo baba akakuoa?
 
umenigusa sana aisee ngoja nianze kuswali
 
Hatuendani tusingekua wote sasa

Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae

Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
Mpendwa kuna members wamekupa ushauri mzuri ila ninacho kiona kwako kwamba jamaa kwa kuwa unaishi nae pamoja una imani siku atakuoa na unajipa matumaini hewa ni chaguo lake kwa kuwa mnaishi pamoja hujiuilizi mpaka una mshauri unataka ndoa ya ubani jamaa kagoma endea kuvuta subra uvune MAJUTO
 
dah pole sana, ila ulichobugi ni kuishi nae mama. anaona anapata kila kitu ya nini kifungo. Wanaume wachache sana wanaoa as kujua umuhimu wa ndoa, Ila wengi anaoa cause anahitaj vitu fulani kwa mwanamke na wewe ndo unampatia. Mi nngekua wewe ningekula aisee maana hapo unashinda njaa.

Asante[emoji17][emoji17]
 
Mtu anakutumia kama mke na mume lakini kuihalalishia HATAKI haoni muda unaenda na sisi wanawake tunawahi kubadilika kimaumbile tofauti na wanaume
Kwa muda mlioishi tayari ni Mme na Make na haki zote hata ikitokea jamaa akifa sasa wewe shida yako ni nini?
 
Back
Top Bottom