Achana na dini uliyoikuta kwa wazazi wako tumia akili acha kutamani harusi ukiwa kwenye ndoaTunaishi pamoja
Dini yetu hairuhusu hivyo hata watoto wanahesabiwa ni wazinaa
Watu wote tupo kikazi lakini si unakua unapanga nyumba na ndugu wanakutembelea, sasa inakuwaje ukianza kuishi na mwanaume asokuwa mmeo? Au ndugu hawakutembelei?Kuna waZazi wanawakataza watoto wao kutafuta maisha?? Wanajua niko huku kikazi..
Changamoto yako ni kwamba jamaa hataki hata kuanza nawe, ingawa ana option ya wanne na hofu yako ni kwamba jamaa anawaza kuoa mmoja ambaye sio wewe. Hapo inahitajika akili kubwa, lazima ukubali kuwa risk taker ni heri kumheshimu Mungu, hata kama wanadamu utawakosea hapo utakuwa salama.Absolutely
Sijaandika urudi kwenu kwani jamaa kakukuta kwenu mkaanza ishi pamoja umeandika ulikuwa umepanga labla kama nimesoma sikukuelewa best maamuzi ni yako hata hivyo hatujasikia maelezo ya upande wa pili atueleze pamoja na kumtimizia mahitaji yote kama mke why kagoma kukuoa.Sasa unataka nirudi nirudi nyumbani?? Au nisubirie hiyo miaka 30 ya kuchunguzwa? Mm siogo
Kaatu ukijashangaa jogoo jua limezama,mvi zimejaa kichwani na damu ya uzazi imekoma .Nachoogopa naweza kuachana na huyu nikampata mwingine ana mapungufu mengi zaidi
Najipa moyo ndoa hupangwa na Mungu maybe atanioa
Au nianzishe mahusiano mengine kimya kimya
Hata hili umeshindwa kungamua kweli. ? Wewe sio chagua lake la kuoa. Bali mnasogeza maisha for the time being.Habari zenu wanaJF
Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])
Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.
Swala lililonileta kwenu.
Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.
Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.
Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.
Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini
Watu wote tupo kikazi lakini si unakua unapanga nyumba na ndugu wanakutembelea, sasa inakuwaje ukianza kuishi na mwanaume asokuwa mmeo? Au ndugu hawakutembelei?
Changamoto yako ni kwamba jamaa hataki hata kuanza nawe, ingawa ana option ya wanne na hofu yako ni kwamba jamaa anawaza kuoa mmoja ambaye sio wewe. Hapo inahitajika akili kubwa, lazima ukubali kuwa risk taker ni heri kumheshimu Mungu, hata kama wanadamu utawakosea hapo utakuwa salama.
Sijaandika urudi kwenu kwani jamaa kakukuta kwenu mkaanza ishi pamoja umeandika ulikuwa umepanga labla kama nimesoma sikukuelewa best maamuzi ni yako hata hivyo hatujasikia maelezo ya upande wa pili atueleze pamoja na kumtimizia mahitaji yote kama mke why kagoma kukuoa.
Itakua kweli hanipendi mimi pia nawaza hilo
Lakini sasa wanaume wote wanakasoro yeye kasoro yake ndio hiyo hataki kunioa naogopa nisije nikaolewa na mtu ambaye hatuendani vitu vingi huyu 99.9% vyote tunaendana tatizo ni hilo tu hayuko tayari na ananiambia kabisa sipo tayari kwasasa but i’ll marry you
Umechoka halafu huondoki? Bado hujachoka ukichoka utakuja kutupa taarifa siku kwamba ulichoka na uliondoka na umepata bwana anayekupenda.
Kupewa hela sio kigezo cha kupendwa.
Yeye haoni umuhimu wa kuoa kwani umeshajirahisisha umekaatu hapo kila kitu kipo mang'anyu anajipatu
Huyo hakupendi ila wewe ndio unampenda
Kaatu ukijashangaa jogoo jua limezama,mvi zimejaa kichwani na damu ya uzazi imekoma .
Hapo ndio utajua subira kunawakati inavuta bangi
Yani unasema umempa miaka 3 tu,kwani wewe ndio unaoa hadi umpangie.Yani ingekuwa Mimi unaniambia hivyo Siku hiyo ningekwambia ujioe mwenyewe.Ni kweli
Yani wanaona kuachana ni rahisi tu tena kwa mtu ambaye mambo mengi mnaendana na amekufanyia makubwa
Nimemuachia Mungu hopeful atatufikisha kwenye ndoa ya halali
Nimempa miaka3 tu panapomajaaliwa
Threads nyingi humu watu wanalalamika mara hivi mara vile watu wanachangamoto kibao za mapenzi mara nguvu za kiume sasa huyu kila kitu kiko biyee jamani
Hata hili umeshindwa kungamua kweli. ? Wewe sio chagua lake la kuoa. Bali mnasogeza maisha for the time being.
28 kwa mwanamke ni kikongwe.Sasa hasara kwa Nani?? Mi yangu yananiendea na hiyo miaka 3 nikiona bado nitafanya ustaarabu mwingine maana ndio kwanza nitakua na 28yrs