Dr. Wansegamila
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 2,968
- 8,139
Mimi nakuombea sana ninachofikiria mimi kiwe wrong.Mimi mwenyewe sielewi anaelewaje ilihali kila kitu tunafanya pamoja tunalala na kuamka pamoja tatizo langu analibeba kama lake mm pia kwake hivyo hivyo Yan tunaishi kimke na mume kabisaaa hadi majirani wanajua ni mke na mume
Kiserikali ni miezi6 na sisi tuna miaka 3 tunaenda minne
Maana kwa mdada kutumika miaka minne plus kama mke halafu usiolewe nae, ni maumivu makubwa sana. I hope i am wrong, na nakuombea all the best, upate hitaji la moyo wako!