Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Sasa unataka nirudi nirudi nyumbani?? Au nisubirie hiyo miaka 30 ya kuchunguzwa? Mm siogopi walimwengu ndio maana nimeona miaka3 jinatosha kuamua nn cha kufanya
Msihi apeleke mahari kwenu basi kama kuoa hataki! Sio heshima kumzalisha binti wa mtu hata mahari hujalipa
 
Kuna kitu cha kiroho ningekusaidia kukufungua macho ila sababu unajitia kiburi basi utakula jeuri yako,, Kama nakumbuka vizuri hata ujauzito wa Kwanza uliuleta humu na ukakwaruzana na wachangiaji (wafukua makaburi watanisaidia hili) sasa hapo ni katka keyboard je huko mtaani wanaokujua hali ikoje!!!!
 
Wewe ndo ukojoe ukalale au hujui stress hazifai kwa mama mjamzito! Vipi ushampikia daku mumeo? 😂😂😂 Na bado ndoa umenyimwa 😂😂😂 ndoa Ni bahati si Kila mtu ako nayo😛😛😛
😂😂😂jamaniii Walimwengu hamna dogo kasema hataki kuachanishwa na mtarajiwa wake biligeti.
 
Kuna kitu cha kiroho ningekusaidia kukufungua macho ila sababu unajitia kiburi basi utakula jeuri yako,, Kama nakumbuka vizuri hata ujauzito wa Kwanza uliuleta humu na ukakwaruzana na wachangiaji (wafukua makaburi watanisaidia hili) sasa hapo ni katka keyboard je huko mtaani wanaokujua hali ikoje!!!!

Jeuri mwenzie kusudi Haya endelea kufukua makaburi

Kwahiyo unataka kusema mtoto walimuua wanajf hongera mwana wa kiroho[emoji122][emoji122] kumbuka tu hakuna linalotokea bila Mungu kutolipitisha tena ongea yote achana na maswala ya ujauzito wangu dada please

Wewe unayebishana na mtu ambaye hata humjui unauhakika gani ya kwenye keyboard yote ni ya kweli? Kama unaweza kungngnia kubishana na mtu ambaye humfahamu hata jinsia yake kwa masaa mengi hivyo kazi unafanya saa ngapi? Unaoishi nao wanapata tabu sana dada na ujuaji wako!!! Endelea kujua

Na wala sihitaji unisaidie hicho kitu cha kiroho ukiwasaidia wengine inatosha

Nimeshasema sitaki ushauri Mbona umenishikilia wewe dada vipi kwani????
 
Pole sana kwa kufiwa na mtoto. Nilikuwa sawa nilipokwambia tulizana. Umepata ME anayekujali sana kwa kila kitu na hata kwenye msiba wenu alichukua likizo ya mwezi ili muomboleze mkiwa pamoja. Kakufanyia mengi ambayo hata walio ndani ya ndoa hawajawahi kufanyiwa na wala hawafikirii kufanyiwa. Kiserikali wewe na yeye tayari ni Mke na Mume lakini unataka ndoa ya dini yenu ili upate cheti na kuachana na uzinzi wenu
😂😂😂😂 labda ubadilike tabia au ulete mambo ya uswahili swahili na ushirikina na kama atagundua atakuona hufai tena kuwa mkewe lakini haya uliyoyaeleza hapa chini yanathibitisha nia yake nzuri kwako badala ya kukutumia kwa uzinzi tu, ila Ramadhan tatu mmeshinda na njaa tu hahahahahaha si umesema kama mnafanya uzinzi HAIHESABIKI!? 😜😜😜

Inawezekana ikawa ni kweli pia

Lakini tusemeni ukweli kwa dunia ya sasa kuna mwanaume tu anaweza kumjengea mtu asiyemuhitaji? Akamfungulia biashara tena kubwa haswa na usafiri juu na vyote Viña majina yangu peke yangu bado kamfungulia kijacho wetu junior acc hela ananipa mwenyewe nikaweke

Kuanzia kiwanja nilitafuta mwenyewe yeye alinipa hela tu 16m na engineer nilitafuta mwenyewe kuanzia ramani hadi ujenzi nafatilia mwenyewe yeye anauliza tu imefikia wapi mafundi vipi na imemtoka more than 20m hadi sasa kwenye huo ujenzi na bado haijaisha, vyote hivyo alisema mwenyewe mke wangu Tafuta kiwanja unakokupenda nakununulia ee jamani tusiwe waongo wapo kweli?? Kama ya kutolea tu wanalilia

Bado nikiumwa hata ukucha iwe usiku wa manane atahakikisha nakua Sawa, nimetoka hosp nilivyojifunga vyote alikua ananifanyia mwenyewe kuanzia kunikanda maji kujua nakula nini kunicomfort sababu tulipoteza mtoto

Nimeshakua na watu kadhaa wazo tu la kimaendeleo hawakua nayo zaidi ya kuonana kunjunjana basii nimepata huyo ananiridhisha [emoji817] bado ananipa furaha tele

Tulizika mtoto akaomba likizo ya 1month tunakawa tunashinda wote tu hadi likizo imeisha

Hayo ni mema yake machache tu ambayo huko nyuma sikuwahi kuyapata

Mpaka namwambiaga Mbona unanifanyia mambo mengi hivi tena mazuri nitakulipa nini?? Anachonijibu ni ananipenda kweli na cha kumlipa ni kutokumsaliti na kuwa muanifu kwake basi, zaidi zaidi anatamani sana mtoto na Mimi sanaaa
 
😂😂😂jamaniii Walimwengu hamna dogo kasema hataki kuachanishwa na mtarajiwa wake biligeti.
Tena nimemuhurumia hali yake ila hayuko sawa anahitaji msaada wa kisaikolojia, atafute wamama watu wazima wanaojiheshimu wasio na skendo mbovu mbovu, hao wamepitia mengi watamshauri vizuri na endapo yeye akiwa na makosa huwa wanakwambia unapokosea, inaonekana hajui kuishi vizuri na watu anaweza kuwa sawa kwa huyo mwanaume wake ila kwa wengine akawa tofauti hiyo tu Ni sababu tosha ya kutompa ndoa

Kajisemea extro Hana jeuri ya kumuacha mwanaume yeye ndo ataachwa,,
 
Wewe ndo ukojoe ukalale au hujui stress hazifai kwa mama mjamzito! Vipi ushampikia daku mumeo? [emoji23][emoji23][emoji23] Na bado ndoa umenyimwa [emoji23][emoji23][emoji23] ndoa Ni bahati si Kila mtu ako nayo[emoji14][emoji14][emoji14]

Daku zote keshapata yuko hapa analipapasa tumbo[emoji3059][emoji3059]

Unalingine??

Sasa kama unajua ndoa ni bahati unahangaika nn jibu si tayari unalo? Mbona kama una stress kuliko mimi mwenyewe[emoji1][emoji1]
 
Tena nimemuhurumia hali yake ila hayuko sawa anahitaji msaada wa kisaikolojia, atafute wamama watu wazima wanaojiheshimu wasio na skendo mbovu mbovu, hao wamepitia mengi watamshauri vizuri na endapo yeye akiwa na makosa huwa wanakwambia unapokosea, inaonekana hajui kuishi vizuri na watu anaweza kuwa sawa kwa huyo mwanaume wake ila kwa wengine akawa tofauti hiyo tu Ni sababu tosha ya kutompa ndoa

Kajisemea extro Hana jeuri ya kumuacha mwanaume yeye ndo ataachwa,,

Ndio siwezi kumuacha kwani nimekana??? Au unatakaje sasa?? [emoji3526][emoji3526] kumuacha simuachi labda aniache yeyeeeee[emoji1362]
 
Jeuri mwenzie kusudi Haya endelea kufukua makaburi

Kwahiyo unataka kusema mtoto walimuua wanajf hongera mwana wa kiroho[emoji122][emoji122] kumbuka tu hakuna linalotokea bila Mungu kutolipitisha tena ongea yote achana na maswala ya ujauzito wangu dada please

Wewe unayebishana na mtu ambaye hata humjui unauhakika gani ya kwenye keyboard yote ni ya kweli? Kama unaweza kungngnia kubishana na mtu ambaye humfahamu hata jinsia yake kwa masaa mengi hivyo kazi unafanya saa ngapi? Unaoishi nao wanapata tabu sana dada na ujuaji wako!!! Endelea kujua

Na wala sihitaji unisaidie hicho kitu cha kiroho ukiwasaidia wengine inatosha

Nimeshasema sitaki ushauri Mbona umenishikilia wewe dada vipi kwani????
😂😂😂😂Ngoja nikucheke tu na nitatoka hapa nitakapotaka mimi kanuni humu Ni moja ukileta mada si yako peke yako
 
Msihi apeleke mahari kwenu basi kama kuoa hataki! Sio heshima kumzalisha binti wa mtu hata mahari hujalipa
😂😂😂
Jeuri mwenzie kusudi Haya endelea kufukua makaburi

Kwahiyo unataka kusema mtoto walimuua wanajf hongera mwana wa kiroho[emoji122][emoji122] kumbuka tu hakuna linalotokea bila Mungu kutolipitisha tena ongea yote achana na maswala ya ujauzito wangu dada please

Wewe unayebishana na mtu ambaye hata humjui unauhakika gani ya kwenye keyboard yote ni ya kweli? Kama unaweza kungngnia kubishana na mtu ambaye humfahamu hata jinsia yake kwa masaa mengi hivyo kazi unafanya saa ngapi? Unaoishi nao wanapata tabu sana dada na ujuaji wako!!! Endelea kujua

Na wala sihitaji unisaidie hicho kitu cha kiroho ukiwasaidia wengine inatosha

Nimeshasema sitaki ushauri Mbona umenishikilia wewe dada vipi kwani????
He😂😂kutoka naombeni ushauri imefikia sitaki ushauri tena relax mpendwa 😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikucheke tu na nitatoka hapa nitakapotaka mimi kanuni humu Ni moja ukileta mada si yako peke yako

We sio mzima una stress za maisha sio bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tafuta bwana akutoe nyege mnyumbuliko ukae Sawa[emoji1362]
 
Daku zote keshapata yuko hapa analipapasa tumbo[emoji3059][emoji3059]

Unalingine??

Sasa kama unajua ndoa ni bahati unahangaika nn jibu si tayari unalo? Mbona kama una stress kuliko mimi mwenyewe[emoji1][emoji1]
Huu muda ungekuwa bize na baba kijacho na kumpumzisha kijacho wenu, achana na mimi, Sina mwanaume hapa natafutia usingizi,,
 
Back
Top Bottom