Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kumbe umewekwa ndani kinyemela😅Kuna waZazi wanawakataza watoto wao kutafuta maisha?? Wanajua niko huku kikazi..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe umewekwa ndani kinyemela😅Kuna waZazi wanawakataza watoto wao kutafuta maisha?? Wanajua niko huku kikazi..
Ya faida iko zaidi kwa mwenzio lakini!Pole sana
Kuishi pamoja sio kuzuri ila kunasaidia sana kumfaham huyu mtu ni wa aina gani
Msihi apeleke mahari kwenu basi kama kuoa hataki! Sio heshima kumzalisha binti wa mtu hata mahari hujalipaSasa unataka nirudi nirudi nyumbani?? Au nisubirie hiyo miaka 30 ya kuchunguzwa? Mm siogopi walimwengu ndio maana nimeona miaka3 jinatosha kuamua nn cha kufanya
😂😂😂jamaniii Walimwengu hamna dogo kasema hataki kuachanishwa na mtarajiwa wake biligeti.Wewe ndo ukojoe ukalale au hujui stress hazifai kwa mama mjamzito! Vipi ushampikia daku mumeo? 😂😂😂 Na bado ndoa umenyimwa 😂😂😂 ndoa Ni bahati si Kila mtu ako nayo😛😛😛
Kuna kitu cha kiroho ningekusaidia kukufungua macho ila sababu unajitia kiburi basi utakula jeuri yako,, Kama nakumbuka vizuri hata ujauzito wa Kwanza uliuleta humu na ukakwaruzana na wachangiaji (wafukua makaburi watanisaidia hili) sasa hapo ni katka keyboard je huko mtaani wanaokujua hali ikoje!!!!
Inawezekana ikawa ni kweli pia
Lakini tusemeni ukweli kwa dunia ya sasa kuna mwanaume tu anaweza kumjengea mtu asiyemuhitaji? Akamfungulia biashara tena kubwa haswa na usafiri juu na vyote Viña majina yangu peke yangu bado kamfungulia kijacho wetu junior acc hela ananipa mwenyewe nikaweke
Kuanzia kiwanja nilitafuta mwenyewe yeye alinipa hela tu 16m na engineer nilitafuta mwenyewe kuanzia ramani hadi ujenzi nafatilia mwenyewe yeye anauliza tu imefikia wapi mafundi vipi na imemtoka more than 20m hadi sasa kwenye huo ujenzi na bado haijaisha, vyote hivyo alisema mwenyewe mke wangu Tafuta kiwanja unakokupenda nakununulia ee jamani tusiwe waongo wapo kweli?? Kama ya kutolea tu wanalilia
Bado nikiumwa hata ukucha iwe usiku wa manane atahakikisha nakua Sawa, nimetoka hosp nilivyojifunga vyote alikua ananifanyia mwenyewe kuanzia kunikanda maji kujua nakula nini kunicomfort sababu tulipoteza mtoto
Nimeshakua na watu kadhaa wazo tu la kimaendeleo hawakua nayo zaidi ya kuonana kunjunjana basii nimepata huyo ananiridhisha [emoji817] bado ananipa furaha tele
Tulizika mtoto akaomba likizo ya 1month tunakawa tunashinda wote tu hadi likizo imeisha
Hayo ni mema yake machache tu ambayo huko nyuma sikuwahi kuyapata
Mpaka namwambiaga Mbona unanifanyia mambo mengi hivi tena mazuri nitakulipa nini?? Anachonijibu ni ananipenda kweli na cha kumlipa ni kutokumsaliti na kuwa muanifu kwake basi, zaidi zaidi anatamani sana mtoto na Mimi sanaaa
Tena nimemuhurumia hali yake ila hayuko sawa anahitaji msaada wa kisaikolojia, atafute wamama watu wazima wanaojiheshimu wasio na skendo mbovu mbovu, hao wamepitia mengi watamshauri vizuri na endapo yeye akiwa na makosa huwa wanakwambia unapokosea, inaonekana hajui kuishi vizuri na watu anaweza kuwa sawa kwa huyo mwanaume wake ila kwa wengine akawa tofauti hiyo tu Ni sababu tosha ya kutompa ndoa😂😂😂jamaniii Walimwengu hamna dogo kasema hataki kuachanishwa na mtarajiwa wake biligeti.
Wewe ndo ukojoe ukalale au hujui stress hazifai kwa mama mjamzito! Vipi ushampikia daku mumeo? [emoji23][emoji23][emoji23] Na bado ndoa umenyimwa [emoji23][emoji23][emoji23] ndoa Ni bahati si Kila mtu ako nayo[emoji14][emoji14][emoji14]
Tena nimemuhurumia hali yake ila hayuko sawa anahitaji msaada wa kisaikolojia, atafute wamama watu wazima wanaojiheshimu wasio na skendo mbovu mbovu, hao wamepitia mengi watamshauri vizuri na endapo yeye akiwa na makosa huwa wanakwambia unapokosea, inaonekana hajui kuishi vizuri na watu anaweza kuwa sawa kwa huyo mwanaume wake ila kwa wengine akawa tofauti hiyo tu Ni sababu tosha ya kutompa ndoa
Kajisemea extro Hana jeuri ya kumuacha mwanaume yeye ndo ataachwa,,
😂😂😂😂Ngoja nikucheke tu na nitatoka hapa nitakapotaka mimi kanuni humu Ni moja ukileta mada si yako peke yakoJeuri mwenzie kusudi Haya endelea kufukua makaburi
Kwahiyo unataka kusema mtoto walimuua wanajf hongera mwana wa kiroho[emoji122][emoji122] kumbuka tu hakuna linalotokea bila Mungu kutolipitisha tena ongea yote achana na maswala ya ujauzito wangu dada please
Wewe unayebishana na mtu ambaye hata humjui unauhakika gani ya kwenye keyboard yote ni ya kweli? Kama unaweza kungngnia kubishana na mtu ambaye humfahamu hata jinsia yake kwa masaa mengi hivyo kazi unafanya saa ngapi? Unaoishi nao wanapata tabu sana dada na ujuaji wako!!! Endelea kujua
Na wala sihitaji unisaidie hicho kitu cha kiroho ukiwasaidia wengine inatosha
Nimeshasema sitaki ushauri Mbona umenishikilia wewe dada vipi kwani????
😂😂😂Msihi apeleke mahari kwenu basi kama kuoa hataki! Sio heshima kumzalisha binti wa mtu hata mahari hujalipa
He😂😂kutoka naombeni ushauri imefikia sitaki ushauri tena relax mpendwa 😂😂😂😂Jeuri mwenzie kusudi Haya endelea kufukua makaburi
Kwahiyo unataka kusema mtoto walimuua wanajf hongera mwana wa kiroho[emoji122][emoji122] kumbuka tu hakuna linalotokea bila Mungu kutolipitisha tena ongea yote achana na maswala ya ujauzito wangu dada please
Wewe unayebishana na mtu ambaye hata humjui unauhakika gani ya kwenye keyboard yote ni ya kweli? Kama unaweza kungngnia kubishana na mtu ambaye humfahamu hata jinsia yake kwa masaa mengi hivyo kazi unafanya saa ngapi? Unaoishi nao wanapata tabu sana dada na ujuaji wako!!! Endelea kujua
Na wala sihitaji unisaidie hicho kitu cha kiroho ukiwasaidia wengine inatosha
Nimeshasema sitaki ushauri Mbona umenishikilia wewe dada vipi kwani????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja nikucheke tu na nitatoka hapa nitakapotaka mimi kanuni humu Ni moja ukileta mada si yako peke yako
Huu muda ungekuwa bize na baba kijacho na kumpumzisha kijacho wenu, achana na mimi, Sina mwanaume hapa natafutia usingizi,,Daku zote keshapata yuko hapa analipapasa tumbo[emoji3059][emoji3059]
Unalingine??
Sasa kama unajua ndoa ni bahati unahangaika nn jibu si tayari unalo? Mbona kama una stress kuliko mimi mwenyewe[emoji1][emoji1]
We sio mzima una stress za maisha sio bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tafuta bwana akutoe nyege mnyumbuliko ukae Sawa[emoji1362]
Huwezi kupata mke na sura ya dharau namna hio! Nyoosha uso kwanza ueleweke😅😅😅
Huu muda ungekuwa bize na baba kijacho na kumpumzisha kijacho wenu, achana na mimi, Sina mwanaume hapa natafutia usingizi,,