Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Naishi na Mwanaume, tatizo nikimgusia suala la ndoa anadai nisubiri hayuko tayari kwa sasa

Nadhani hii post Ni kubwa kwako ungeipita tu, niliyemquote kazungumzia dini au hujaona ila tu nilipojibu Mimi ndo pameonekana dini,,

Tunajadili maisha yako uliyoamua kuyaleta mtandaoni sio nyege zangu nadhani, usihamishe mada binti sijawahi kuleta mjadala mtandaoni kuhusu nyege zangu,, tuko sawasawa

Kumbe unajua maisha yangu sasa kwanini unateseka???? We ukikosa kuyajadili ama ukiyajadili napungukiwa na nini mwisho?? Nimeshayaleta maisha yangu Haya sasa pigana basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Niko na wewe[emoji1362] bado hauna ulilonikera hadi sasa


Na bado nitayaleta ili uje uchangie tena[emoji41]nimeshaona huna kazi za kufanya na huna wa kukunyumbulisha huko chini hasira zako unaniletea mimi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Dear mpotezee nimeelewa why jamaa kamgomea ndoa ana lugha chafu kama tungesikia na upande wa pili why kagoma na uhakika tungempokeza kwa hilo.
Ok ok sweetheart, anachokitamani wengine tulishakipata hata kabla hajabalehe, akiambiwa ukweli anang'aka kwa maneno ya shombo😂😂 uhalisia haukimbiwi bali kuukabili
 
Ok ok sweetheart, anachokitamani wengine tulishakipata hata kabla hajabalehe, akiambiwa ukweli anang'aka kwa maneno ya shombo[emoji23][emoji23] uhalisia haukimbiwi bali kuukabili

Ulishakipata wewe na sio Mimi hatuwezi kulingana[emoji1362] shida ulizopata wewe usifikiri na Mimi nitazipitia dada Upo Ndio maana umechangia nyuzi nyingi kudanga kudanga mimi siko kama wewe[emoji1362] usinilinganishe tafadhari


Kwa kifupi tu siachani nae siondoki na maisha yangu nitayaleta humu vile navyotaka na bado utakuja kuchangia bila ya mm kukuita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukiona unaumia sana jinyongeeeee na Sina muda wa kukublock nakuacha uondoe stress zako hapa maana hushasena huna bwana na ningeshangaa bwana gani akutake mwanamke unabishana na vitu ambavyo huna uhakika navyo ni vya kweli ama


#ukinizungiatunazinguana[emoji1362][emoji1362][emoji1362] Tafuta bwana dada nyege zinakusumbua huna kingine....
 
Ulishakipata wewe na sio Mimi hatuwezi kulingana[emoji1362] shida ulizopata wewe usifikiri na Mimi nitazipitia dada Upo Ndio maana umechangia nyuzi nyingi kudanga kudanga mimi siko kama wewe[emoji1362] usinilinganishe tafadhari


Kwa kifupi tu siachani nae siondoki na maisha yangu nitayaleta humu vile navyotaka na bado utakuja kuchangia bila ya mm kukuita[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukiona unaumia sana jinyongeeeee na Sina muda wa kukublock nakuacha uondoe stress zako hapa maana hushasena huna bwana na ningeshangaa bwana gani akutake mwanamke unabishana na vitu ambavyo huna uhakika navyo ni vya kweli ama


#ukinizungiatunazinguana[emoji1362][emoji1362][emoji1362] Tafuta bwana dada nyege zinakusumbua huna kingine....
🖕
 
[emoji867]

Jiweke wewe upunguze utoko[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]uache kutoa harufu Kama kuna paka kaozea huko ndani[emoji18]Ndio maana hupati bwana
 
Mkuu,Mimi naelewa unachokitaka wewe na unachohofia wewe.Na ukiona mwanamke anangania tuhalalishe after liing together ujue ni mshenzi.msumbufu,trouble maker.Kama unataka ndoa usihamie kwa mume kabla.Kuwa na msimamo ukiwa kwenu.Kama umekaa nae miaka 3 ujue kabisa kwamba mtakuwa pamoja milele ila kama ukileta chokochoko za tuhalalishe usishangae ukawa ndo mwanzo wa kuvunjia uhusiano.

Hakuna mahusiano haramu au halali provided wote mmeridhia.Hio habari ya tuhalalishe sijui mnaitoa wapi wanawake.Muoaji ni Mwanaume na yeye ndo anaweza kuamua kwamba sasa nahalalisha sio wewe.Wewe tulia kwa sababu tayari uko nae.Kama una wasi wasi atakuacha asi ujue hata mkifunga ndoa atakuacha tu.END of advice.
 
Habari zenu wanaJF

Waislam wenzangu A’alaykum (eid inanukia[emoji39])

Niko na mtu tuna miaka mitatu hadi sasa tumepitia changamoto nyingi furaha na huzuni, kiukweli ni mtu ambaye hajawahi kuniacha hata hatua moja.

Swala lililonileta kwenu.

Huyu mtu ni muislam mwenzangu hamna changamoto zingine zozote isipokua kwenye swala la sisi kuhalalisha anakua mgumu mno (ndoa) ukimwambia tu basi tuhalalishe ni yuko muwazi yeye kwasasa hataki.

Huduma zote anatoa kuanzia matumizi (pesa) na huduma za chumbani[emoji3059][emoji3059] hajaoa, tunaishi wote. Shida ni hiyo tu hataki tuhalalishe ndugu zangu nifanyaje na kuachana nae siwezi japokua mwenyewe alinambia kama naona ananichelewesha basi anipe space ndani ya muda flani ikiwa bado sijaipata hiyo ndoa turudiane.

Hata funga yangu naona haiswihi kabisa maana tunaishi wote then tunafunga eti. Kwenye kila kitu mnakubaliana ila swala la ndoa hapo hataki anasema nivumilie.

Simuelewi! Au ana miiko[emoji848] Niko hoves nimechoka kuzini

endelea kutumika,jitolee kama mwl. wa field kuongeza cv
 
Mtu anakutumia kama mke na mume lakini kuihalalishia HATAKI haoni muda unaenda na sisi wanawake tunawahi kubadilika kimaumbile tofauti na wanaume
Kama ni wako ni wako tu hatakuachia.Muoneshe upendo,heshima,staha na daima utakuwa mpenzi wa moyo wake.Jitie unataka kuhalalisha utaishia kuharamishwa.Nimeona mengi sana katika mahusiano so najua ninachosema.Kwa jinsi unavodai its obvious una ajenda yako ambayo haina msingi na jamaa ameamua kuwa muwazi.Usilazimishe labda haoni umuhimu wa hilo jambo kwa sasa.Kwani kufunga ndoa ni lazima?Kwa ni lazima akuoe wewe?
 
Nimesoma hii mada yite tangu saa tatu,,,,,Nasemaje Wanawake acheni kuoneana wivu mbwa nyie

Bora umesema hapo unakuta wote wanategemea ugali wa nyumbani[emoji23][emoji23]

Ndio hao hao ukiwa na maisha magumu wanakusema hapo uwaombe hata msaada mdogo watakavyokutangaza

Wengi wao ni wivu tu[emoji1362] na Mimi siondoki ndio kwanza nampa yote atumie hadi achoke yeye
 
Hatuendani tusingekua wote sasa

Point ni hiyo yeye hayuko tayari choice ni yangu kuwa na sub’rah au kuachana nae

Ni rahisi kuongea tu ila kutenda ni ngumu na huo ndio uhalisia
Mwanaume ni ngumu sana kumtosa mwanamke ulienae kimahusiano ambae si tegemezi kiuchumi hasa kama mnaishi p1.

Njia nzuri ni kuondoa ulinzi (wivu) na kuacha milango wazi ili mwanamke ama achukuliwe na mwanaume mwingine au ajiondokee tu kwa kuchoka. (Kama anavofanya wako) ingekuwa ww ni tegemezi kiuchumi njia hii ingekuondoa haraka.

Sioni kama ana nia ya kukuoa wewe.

Ndugu zake huwa wanakuja kuwatembelea?
 
Ukweli ni kwamba nigga hawezi kukuoa, fadhila ya wewe kulipa mema aliyokufanya ni kumzalia watoto tu ndicho anachokitaka.

Wewe tega kitumbua, fyatua watoto...shukuru kwa alichokuwezesha...sahau kuhusu ndoa yupo mtoto mzuri ataolewa na huyo jamaa na sio wewe.
 
Hello sweet darling,, uko sahihi sana, ila tu hapo kwenye uzinifu wake kusema anafanya ukristo nadhani Ni kujaribu kuukwepa ukweli ya kuwa kaaibisha uislam, aina yake ya uolewaji haitambuliki popote iwe ukristo ama uislam, sio busara kuhamisha magoli ulichofanya hapa ni kudhihaki ukristo,,

Yani muislamu akikosea mna tabia ya kuwakana na kuwasukumizia kwenye ukristo hamuwezi kuonyesha utakatifu wenu pasipo kudhihaki ukristo[emoji1745]
Ubarikiwe sana mama wa kiroho. Umemjibu bila muhaho, maana haya mambo ya baadhi ya watu kuona imani zao ndiyo sawa na za wengine ndio chafu sio sawa kabisa; zinaweza kuleta mtifuano amazing. You are a True Christian [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ukweli ni kwamba nigga hawezi kukuoa, fadhila ya wewe kulipa mema aliyokufanya ni kumzalia watoto tu ndicho anachokitaka.

Wewe tega kitumbua, fyatua watoto...shukuru kwa alichokuwezesha...sahau kuhusu ndoa yupo mtoto mzuri ataolewa na huyo jamaa na sio wewe.

Yote kheriiiii

Kuna single mamas wa ngapi? Kila siku wanalalamika mara ada mara huduma za watoto akioa mwingine ni heri pia maana nitakua na uwezo wa kuwahudumia wanangu na kuwatafutia baba mlezi huku nipo kwangu ama napokea kodi

Na licha ya hivyo anaweza kufa na hata tusioane au nikafa pia

Ndoa hupangwa na Mungu asiponioa mm ataoa mwingine na mm nitaolewa na mwingine niliyeandikiwa[emoji1431] na nimejifunza ndoa sio kila kitu nimepata pms nyingi nawashukuru sana wote


Mfano bilget nk watu wameoana wameishi miaka mingi na wakaachana so yote yanawezekana[emoji8][emoji8]
 
Shikamoo shemeji. Hivi hizi comments ni za kwako au? Hadi wewe mzee wa "Audition" unasema hivi? Mungu azidi kunipa hekima na maarifa ya kuwalisha mabinti zangu na wenyewe wakawe wasikivu IJN
Wakati mnazaa namna hio we kwenu wazazi hakuna ama? Au wameridhia uwekwe kinyumba bila ndoa sababu bwana ana hela?
Kumbe umewekwa ndani kinyemela[emoji28]
 
Back
Top Bottom