SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kijana kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na waliobadilisha .
Sasa namuuliza wewe nani ananiambia kwani nyumbayako nimeongea na mwenye nyumba sasa chakushangaza hatuna ufunguo wa geiti lao ila yeye anayo zote kubwa na ndogo .
mwenye nyumba baada yakutoka kuongea naye akaanita mie mjinga simjui mpangaji mwenzangu?, na sina haki ya kumnyima kupaki maana nyumba ni yake sio yangu anahaki ya kufanya atakacho kwake.
Sasa anahaki gani yakupaki kama nani na aishi ndani ya hiyo geiti.
Na amepewa funguo zote .??
Aaisee na makosa gani hapo ili nielewe .
Maana kupanga sio makosa . Kosa nikuishi kwa malimbukeni .