SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
- Thread starter
- #41
Vizuri mwaya unabahati sanaWanakutia hasira ukajenge!. m mwenye nyumba wangu ni mshua kinyama, mpaka natamani kumwambia aongeze kodi ya pango.
Vizuri mwaya unabahati sanaWanakutia hasira ukajenge!. m mwenye nyumba wangu ni mshua kinyama, mpaka natamani kumwambia aongeze kodi ya pango.
Sema kweli?Mm nimeokoka 😎
Wivu tu unawasumbua..kwa maelezo haya umewazidi vitu vingi..Mwenye nyumba ni mwanaume na na mpangaji anayemsifia ni mwanaume .
Mbulu ni mwenye nyumba , huyo mpangaji ni sijui kabila lake.
anagari ya alphard anaishi nyumba ya laki . Mie yangu inaparking maana mie kidogo namzidi kodi laki 5 .
Mkuu huwezi kujenga kila sehemu...Kuna wengine tunapanga lakini kwenye miji/maeneo mengine mbali na tulipo sasa tuna wapangaji na tunaitwa Baba/Mwenye nyumba.Wanakutia hasira ukajenge!. m mwenye nyumba wangu ni mshua kinyama, mpaka natamani kumwambia aongeze kodi ya pango.
Umeandika nini hapa?Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Wewe una gari?Mwenye nyumba ni mwanaume na na mpangaji anayemsifia ni mwanaume .
Mbulu ni mwenye nyumba , huyo mpangaji ni sijui kabila lake.
anagari ya alphard anaishi nyumba ya laki . Mie yangu inaparking maana mie kidogo namzidi kodi laki 5 .
Yanini nasijajengaaWewe una gari?
Sahihi mkuuMkuu huwezi kujenga kila sehemu...Kuna wengine tunapanga lakini kwenye miji/maeneo mengine mbali na tulipo sasa tuna wapangaji na tunaitwa Baba/Mwenye nyumba.
Mkataba wako unasemaje au Mwenye Nyumba alishakwambi eneo mtakua mnatumi na wapangaji wenzako ambao nyumba zao zipo nje ya Nyumba uliyopanga?Eh kwanini??
Hapana alisema tupo ndani ya geiti wawili tu na hakuna mtu ambaye anaruhusiwa kuingia kutawala labda hao wengine wamewekewa geiti ndogo kama wanashida ya maji tu maana koki zao na chemba zao zimewekwa kwetu na matanki ila kuhusu parking ni sisi wawili tuMkataba wako unasemaje au Mwenye Nyumba alishakwambi eneo mtakua mnatumi na wapangaji wenzako ambao nyumba zao zipo nje ya Nyumba uliyopanga?
Ehhh njoo usiku tufanye maombiSema kweli?