SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
- Thread starter
- #21
Swali langu ni hili ni sawa mtu mwingine ambaye haishi hapo ndani kupewa funguo zote ni sawa ??unapaswa kupewa funguo zote za hizo geti kama zinakuzuia kuingia kwako.
Swali langu ni hili ni sawa mtu mwingine ambaye haishi hapo ndani kupewa funguo zote ni sawa ??unapaswa kupewa funguo zote za hizo geti kama zinakuzuia kuingia kwako.
Nitoler mfano mie.sio mzunguIshi na watu vizuri,
na jitahidi sana kuavoid sense of perfections na itapendeza zaidi![]()
Akili hizo unamuona mtu humjui anakuwa na ufunguo zote za geiti kubwa na geiti ndogo halafu humuulizi??Yaani vitu vidogo tu vya kuelekezana unapaniki, kwa akili hizo ndiyo maana hamuelewani na huyo mpangaji mwenzako..
ok relax bas na ujue kwamba kuishi na watu kazi na sio kulalamaNitoler mfano mie.sio mzungu

Anapewa kwa madhumuni ya Parking au lengo ni nini?kuna swala la usalama halijakaa sawa hapo. Haza wa mali zenu ambao mko huo upande wa pili. Kuna jambo hujaeleza sawa sawa hapaSwali langu ni hili ni sawa mtu mwingine ambaye haishi hapo ndani kupewa funguo zote ni sawa ??
Nimemuuliza mbona kuna mtu ambaye amefungua mlango na simjui na amesema umemruhusu??Ulimwambiaje mwenye nyumba kisha akajibu hivi?
Huyo mtu alivokuambia karuhusiwa na nwenye nyumba hukutakiwa kuhangaika naye wala kumuulizia,Nimemuuliza mbona kuna mtu ambaye amefungua mlango na simjui na amesema umemruhusu??
Mimi jirani huyo wanjee simjui .
Sasa shida yakunijibu vibaya ni ipi akamuuliza balozi ndio akamwambia ni fulani ni mpangaji wako wa ile nyumba ingine ndio akanitukana
NIambie nikuelezeeAnapewa kwa madhumuni ya Parking au lengo ni nini?kuna swala la usalama halijakaa sawa hapo. Haza wa mali zenu ambao mko huo upande wa pili. Kuna jambo hujaeleza sawa sawa hapa
Mpangaji aliepewa funguo yuko sehem nyingine ya nyumba ambayo haina parking?NIambie nikuelezee
Mmmmh huu mwandiko kama wa yule mchizi anaitwa pdiddyNaishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na waliobadilisha .
Sasa namuuliza wewe nani ananiambia kwani nyumbayako nimeongea na mwenye nyumba sasa chakushangaza hatuna ufunguo wa geiti lao ila yeye anayo zote kubwa na ndogo .
mwenye nyumba baada yakutoka kuongea naye akaanita mie mjinga simjui mpangaji mwenzangu?, na sina haki ya kumnyima kupaki maana nyumba ni yake sio yangu anahaki ya kufanya atakacho kwake.
Sasa anahaki gani yakupaki kama nani na aishi ndani ya hiyo geiti.
Na amepewa funguo zote .??
Aaisee na makosa gani hapo ili nielewe .
Maana kupanga sio makosa . Kosa nikuishi kwa malimbukeni .
Unataka kuwaoa wewe?Mmeolewa kwan
Mm nimeokoka 😎Unataka kuwaoa wewe?
Hujasema mpangaji mwenzio na Mwenye nyumba ni.Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kijana kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na waliobadilisha .
Sasa namuuliza wewe nani ananiambia kwani nyumbayako nimeongea na mwenye nyumba sasa chakushangaza hatuna ufunguo wa geiti lao ila yeye anayo zote kubwa na ndogo .
mwenye nyumba baada yakutoka kuongea naye akaanita mie mjinga simjui mpangaji mwenzangu?, na sina haki ya kumnyima kupaki maana nyumba ni yake sio yangu anahaki ya kufanya atakacho kwake.
Sasa anahaki gani yakupaki kama nani na aishi ndani ya hiyo geiti.
Na amepewa funguo zote .??
Aaisee na makosa gani hapo ili nielewe .
Maana kupanga sio makosa . Kosa nikuishi kwa malimbukeni .
Mwenye nyumba ni mwanaume na na mpangaji anayemsifia ni mwanaume .Hujasema mpangaji mwenzio na Mwenye nyumba ni.
Jinsi gani?
Kama ana gari?
Wastani wa kipato chake?
Kabila lake..
Kwa uchache haya yanaweza kuwapa mwanga washauri wako