SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,474
- 10,518
Eh kwanini??Hilo geiti ni la ku slide
EH!Mbona kama umemkataza kupaki badala ya kudai funguo kwa mujibu wa majibu ya mwenye nyumba?
Hama hiyo nyumba usiteswe na hela zakoNaishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na waliobadilisha .
Sasa namuuliza wewe nani ananiambia kwani nyumbayako nimeongea na mwenye nyumba sasa chakushangaza hatuna ufunguo wa geiti lao ila yeye anayo zote kubwa na ndogo .
mwenye nyumba baada yakutoka kuongea naye akaanita mie mjinga simjui mpangaji mwenzangu?, na sina haki ya kumnyima kupaki maana nyumba ni yake sio yangu anahaki ya kufanya atakacho kwake.
Sasa anahaki gani yakupaki kama nani na aishi ndani ya hiyo geiti.
Na amepewa funguo zote .??
Aaisee na makosa gani hapo ili nielewe .
Maana kupanga sio makosa . Kosa nikuishi kwa malimbukeni .
Ndio nafanya hivyoo mwayaHama hiyo nyumba usiteswe na hela zako
Toa majibu
Sikuelewi etiToa majibu
Nani anaishi kwa ubaya?? Mimi nisimuulize wewe ninani??Duh.... Kaeni kwa upendo mkuu!
Nikutafutie nyumba?Ndio nafanya hivyoo mwaya
Ulimwambiaje mwenye nyumba kisha akajibu hivi?mwenye nyumba baada yakutoka kuongea naye akaanita mie mjinga simjui mpangaji mwenzangu?, na sina haki ya kumnyima kupaki maana nyumba ni yake sio yangu anahaki ya kufanya atakacho kwake.
Sawa kabisa ni sawaNikutafutie nyumba?
Kilimahewa utakaa?Sawa kabisa ni sawa
Mwenye nyumba kizibo na huyo boya mwenye kimkweche naye mbayuwayu tu.Sasa hata kama umeshaongea na mwenyenyumba kuhusu parking ni wajibu na ustaarabu hata wakinafki uende uwape hi na kuwataarifu wanaolala na mkweche wako.Kuna watu maskini wa akili na mali.Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na waliobadilisha .
Sasa namuuliza wewe nani ananiambia kwani nyumbayako nimeongea na mwenye nyumba sasa chakushangaza hatuna ufunguo wa geiti lao ila yeye anayo zote kubwa na ndogo .
mwenye nyumba baada yakutoka kuongea naye akaanita mie mjinga simjui mpangaji mwenzangu?, na sina haki ya kumnyima kupaki maana nyumba ni yake sio yangu anahaki ya kufanya atakacho kwake.
Sasa anahaki gani yakupaki kama nani na aishi ndani ya hiyo geiti.
Na amepewa funguo zote .??
Aaisee na makosa gani hapo ili nielewe .
Maana kupanga sio makosa . Kosa nikuishi kwa malimbukeni .
Yaani vitu vidogo tu vya kuelekezana unapaniki, kwa akili hizo ndiyo maana hamuelewani na huyo mpangaji mwenzako..Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.
HAtujawahi elewana .
Sasa nje ya geiti kuna nyumba za mwenye nyumba ambayoo hawana parking .
Ila mimi siwafahamu eti . Sasa leo kaja kafungua geiti ndogo na geiti kubwa walibadilisha kofuli sijapewa ufunguo na waliobadilisha .
Sasa namuuliza wewe nani ananiambia kwani nyumbayako nimeongea na mwenye nyumba sasa chakushangaza hatuna ufunguo wa geiti lao ila yeye anayo zote kubwa na ndogo .
mwenye nyumba baada yakutoka kuongea naye akaanita mie mjinga simjui mpangaji mwenzangu?, na sina haki ya kumnyima kupaki maana nyumba ni yake sio yangu anahaki ya kufanya atakacho kwake.
Sasa anahaki gani yakupaki kama nani na aishi ndani ya hiyo geiti.
Na amepewa funguo zote .??
Aaisee na makosa gani hapo ili nielewe .
Maana kupanga sio makosa . Kosa nikuishi kwa malimbukeni .
Ishi na watu vizuri,Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu.