Naishi nyumba ya kupanga ila mpangaji ni mimi na jirani yangu tu. HAtujawahi elewana

Yaani vitu vidogo tu vya kuelekezana unapaniki, kwa akili hizo ndiyo maana hamuelewani na huyo mpangaji mwenzako..
Akili hizo unamuona mtu humjui anakuwa na ufunguo zote za geiti kubwa na geiti ndogo halafu humuulizi??
 
Swali langu ni hili ni sawa mtu mwingine ambaye haishi hapo ndani kupewa funguo zote ni sawa ??
Anapewa kwa madhumuni ya Parking au lengo ni nini?kuna swala la usalama halijakaa sawa hapo. Haza wa mali zenu ambao mko huo upande wa pili. Kuna jambo hujaeleza sawa sawa hapa
 
Ulimwambiaje mwenye nyumba kisha akajibu hivi?
Nimemuuliza mbona kuna mtu ambaye amefungua mlango na simjui na amesema umemruhusu??
Mimi jirani huyo wanjee simjui .
Sasa shida yakunijibu vibaya ni ipi akamuuliza balozi ndio akamwambia ni fulani ni mpangaji wako wa ile nyumba ingine ndio akanitukana
 
Huyo mtu alivokuambia karuhusiwa na nwenye nyumba hukutakiwa kuhangaika naye wala kumuulizia,
Ulichotakiwa ni kuomba copy ya funguo.
Haujui kuishi na wamatumbi??
 
Anapewa kwa madhumuni ya Parking au lengo ni nini?kuna swala la usalama halijakaa sawa hapo. Haza wa mali zenu ambao mko huo upande wa pili. Kuna jambo hujaeleza sawa sawa hapa
NIambie nikuelezee
 
Ndo umekuja kunishitaki uku JF hujui kama na Mimi ni mtumiaji wa huu mtandao? Sasa jiandae kisaikolojia utakula Jeuri Yako.
 
NIambie nikuelezee
Mpangaji aliepewa funguo yuko sehem nyingine ya nyumba ambayo haina parking?
Je anepewa funguo kwa madhumuni ya packing? Kama amepewa funguo kwaajili ya packing inakuathiri wewe kiusalama au ni kwa eneo la packing? Au?
 
Mmmmh huu mwandiko kama wa yule mchizi anaitwa pdiddy
 
Hujasema mpangaji mwenzio na Mwenye nyumba ni.
Jinsi gani?
Kama ana gari?
Wastani wa kipato chake?
Kabila lake..
Kwa uchache haya yanaweza kuwapa mwanga washauri wako
 
Hujasema mpangaji mwenzio na Mwenye nyumba ni.
Jinsi gani?
Kama ana gari?
Wastani wa kipato chake?
Kabila lake..
Kwa uchache haya yanaweza kuwapa mwanga washauri wako
Mwenye nyumba ni mwanaume na na mpangaji anayemsifia ni mwanaume .
Mbulu ni mwenye nyumba , huyo mpangaji ni sijui kabila lake.
anagari ya alphard anaishi nyumba ya laki . Mie yangu inaparking maana mie kidogo namzidi kodi laki 5 .
 
Wanakutia hasira ukajenge!. m mwenye nyumba wangu ni mshua kinyama, mpaka natamani kumwambia aongeze kodi ya pango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…