Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Dong Jin

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2018
Posts
968
Reaction score
2,034
Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii

Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia kubwa sana katika mziki wa bongo flavour na kuvunja rekodi mbalimbali afrika kwa ubora na tuzo zitakazobebwa

Ni suala la muda tu

NAWASILISHA
 
Domo kaishiwa ametoa nyimbo nyingi sana hivi karibuni na zote zimefulia, umaarufu wake unaporomoka kwa kasi sana.
 
Ijumaa hii ya tarehe 11, diamond platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii

Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia kubwa sana katika mziki wa bongo flavour na kuvunja rekodi mbalimbali afrika kwa ubora na tuzo zitakazobebwa

Ni suala la muda tu

NAWASILISHA
Kama hakumshirikisha Hbaba haiwezi kufika mbali 🤣
 
[emoji445]Asa Nisogezee Niiweke Ikichomoka Nichomeke, Utamu Koleeaa Pale Ukiikalia Kwa Juu Ooh Baby Asa Twende Zigizigi TukiJigijigi Utaniuaaa..[emoji445] [emoji205]
 
Kwa haraka haraka Ep itakua mbovu sana.

Sasa kama anajua Ep yake ni nzuri na itakua kali kuliko zote kwanini apoteze mamilioni ya pesa kuifanyia "promosheni" siku 3 mfululizo?

Ep kali zinajiuza zenyewe bana kwa masongi makali jombii.
 
Biashara ni matangazo na ww..! Hivyo hiyo tarehe 11 naamini hata ww unaisubiria kwa hamu ili kutafuta pa kuponda.
 
hivi kwanini siku hizi wanapenda kutumia majina ya kingereza wakati nyimbo ni za kiswahili na mbaya hayo majina hayabebi maudhui halisi
kiingereza kina sound good mzee... Hata marehemu kanumba alilijua hili ndo maana jina la muvi kiingereza ila content ni kiswahili...

Au upande wa muvi tusiuhusishe, vp "my everything" ya alikiba ilitoka mwaka jana! Au?
 
Back
Top Bottom