Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

domo kaishiwa ametoa nyimbo nyingi sana hivi karibuni na zote zimefulia, umaarufu wake unaporomoka kwa kasi sana.
Haya bana lambalamba! Hizi ramli chonganishi mlianza kuzifanya miaka 10 iliyopita, 2012 hukooo! Watu wa enzi hizo wakasema kijana kaporomoka mara kafulia, akaja kuwaprove wrong kwa show ya diamonds are forever!
 
Kwa haraka haraka Ep itakua mbovu sana.

Sasa kama anajua Ep yake ni nzuri na itakua kali kuliko zote kwanini apoteze mamilioni ya pesa kuifanyia "promosheni" siku 3 mfululizo?

Ep kali zinajiuza zenyewe bana kwa masongi makali jombii.
Mzee shtuka! Watu siku hizi hawafanyi kazi zao kwa mazoea! Kuna strategies zake huwa zinafuatwa hasa kama unajielewa

Mond sahv ni brand, na pia ni business mogul, akili yake haipo kilayman... Katika hizo event tatu tofauti kuna kuna sponsors mbalimbali waliomwaga mpunga wao, ukichanganya na viingilio hela yote ya production inakuwa imerudi na chenchi juu

Hivyo hata km hiyo ep itakuwa mbovu, haitampa hasara! Hata ktk "a boy from tandale" alifanyaga hivyo na ilimlipa hata kabla ya mauzo ya album yenyewe
 
  • Thanks
Reactions: Qwy

Kama sio juma lokole, basi utakuwa aristote
 
Kama sio juma lokole, basi utakuwa aristote
mi ni mdau wa maendeleo ya watanzania kwa ujumla... Na kwa bahati mbaya hao ulowataja siwajui vizuri ktk nyanza za kibiashara, labda alistote upande wa mapambo ya kike ila huyo mwingine duuh!

Nilishawahi mlaumu darasa kwa kutokufanya pre listening party ya album yake ya "a slave become a king". Japo album yake ilikuwa kali lakini aliikosesha mapato! Hata km ilimlipa, ni kwa kuchelewa sana...

Maana ilibidi ilipe kwanza gharama ya uzalishaji, then ianze kumuingizia faida tena kwa kutegemea online platform pekee napo haikufanya poa kivile. Angeifanyia hata tour lakini hakufanya hivo
 
kiingereza kina sound good mzee... Hata marehemu kanumba alilijua hili ndo maana jina la muvi kiingereza ila content ni kiswahili...

Au upande wa muvi tusiuhusishe, vp "my everything" ya alikiba ilitoka mwaka jana! Au?
hakuna uhusiano Kati ya jina la kingereza na uzuri wa kitu. kitu kama kizuri ni kizuri tu halafu mziki mzuri hauna mipaka ya lugha mkuu nadhani ni ulimbukeni na ushamba
 
Kwa haraka haraka Ep itakua mbovu sana.

Sasa kama anajua Ep yake ni nzuri na itakua kali kuliko zote kwanini apoteze mamilioni ya pesa kuifanyia "promosheni" siku 3 mfululizo?

Ep kali zinajiuza zenyewe bana kwa masongi makali jombii.
Kwanini asifanye promotion wakati muda, pesa na mazingira ya kufanya promotion yapo.

Dogo anaijua showbiz industry, hapa hata wanaojadili kwa negativity na wao pia ni sehemu ya promotion. Watu wametoa mpaka albums lakini hakuna anayemfikia kwa streams katika digital platforms.

Hata soccer world cup competitions au Olympics hufanyiwa promotions/advertisements, if you want it big then you gotta promote it. That's the way to go.

Unajua promo waliyoifanya akina Dr Dre kwa ajili ya show ya kwenye super ball?

Tuache chuki na wivu, jamaa biashara ya muziki anaijua. Just imagine #FOA tu peke yake ilikuwa topic.
 
Haya bana lambalamba! Hizi ramli chonganishi mlianza kuzifanya miaka 10 iliyopita, 2012 hukooo! Watu wa enzi hizo wakasema kijana kaporomoka mara kafulia, akaja kuwaprove wrong kwa show ya diamonds are forever!
domo hana jipya labda atafute mtu wa kumwandikia nyimbo lakini kama ndo izo zake za inama nipachike rungu bado sana
 
Wasanii wakubwa wanatoa album, msanii mkubwa kutoa EP ni uoga na ni dalili za kuishiwa
 
Kwa haraka haraka Ep itakua mbovu sana.

Sasa kama anajua Ep yake ni nzuri na itakua kali kuliko zote kwanini apoteze mamilioni ya pesa kuifanyia "promosheni" siku 3 mfululizo?

Ep kali zinajiuza zenyewe bana kwa masongi makali jombii.
Wewe utakua Unajiita hopetyga insta..uandishi wenu ni ule ule
 
Hebu isikilize na wewe kisha "uwaze" kivyako kuna productivity yoyote hapa kwenye hii EP?

Kilichonifurahisha kwenye hii EP ni kwenye wimbo wa "Nawaza" amekiri kinawagombajisha yeye na Alikiba ni "Ushamba wa Kugombania Mashabiki"

Kiukweli ni utoto na ushamba kwelikweli katika dunia ya sasa.
 
Back
Top Bottom