Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Nyimbo zote zimetulia,zina uafrika mwingi dogo kaacha ule ufala wake wa manyimbo ya kichoko karudi enzi zake za "ukimuona" ....EP iko safi kabisa inafaa kusikiliza mbele ya mama mkwe.Africa nzima hatimaye imesimama.
Ni shangwe kila kona mitandaoni mpaka mitaani.
Roho zimesuuzika kiu imekatwa.
FOA imekuwa FOA kwenye mdomo wa kila mtu ndani ya bara la Africa.
Hakuna wimbo wa ku-skip
History nyingine inaandikwa na mfalme wa afro pop.