Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yude basti mai mendula..Kwenye nyimbo alizoimba English amejitahidi sana sio kama teacher konde
Wewe utakuwa mshabiki wa kiba au mmakondeHamna kitu Ep imejaa upupu
Rate 1.01/10
Kwahiyo?Wewe utakuwa mshabiki wa kiba au mmakonde
Numbie kama numbie[emoji3][emoji3][emoji3575][emoji3575]0/10
hater kama hater
Sona kali sana07. wonder safi kafanya poa
Africa ipi imesimama?Africa nzima hatimaye imesimama.
Ni shangwe kila kona mitandaoni mpaka mitaani.
Roho zimesuuzika kiu imekatwa.
FOA imekuwa FOA kwenye mdomo wa kila mtu ndani ya bara la Africa.
Hakuna wimbo wa ku-skip
History nyingine inaandikwa na mfalme wa afro pop.
Tupo kwenye kipindi cha Kwalesma lakini[emoji3]0/10
hater kama hater
Sikilize hizi Somebody, Loyal, wonder, fine,nawaza ngoma Kali sanaSijaisikiliza ila naipa 9/10 kutokana na maoni ya wadau
Tupo kwenye kipindi cha Kwalesma lakini[emoji3]
Huyu mwamba ni kwere !![emoji119]Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia kubwa sana katika mziki wa bongo flavour na kuvunja rekodi mbalimbali afrika kwa ubora na tuzo zitakazobebwa
Ni suala la muda tu
NAWASILISHA