Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

EP ya FOA ya Diamond Platinumz ina jumla ya nyimbo kumi. Binafsi nilipata fursa ya kuzisikiliza zote na ninaweza nikasema kwamba Diamond ameitendea haki Sana hyo EP yake.

Kuna nyimbo kadhaa kwenye hyo EP ambazo nimezipenda Sana ila hizi pini za " Somebody" na " Loyal" ndo zimenibamba zaidi kuliko nyingine zote.
Kwenye kitaa Cha kwetu naona Wana wanaupigia debe Sana wimbo wa Nawaza ila Mimi niliuchukia tu baada ya kumsikia Diamond akimdiss Kiba.

Comment wimbo ambayo umeupenda sana kutoka kwenye EP ya First of All.
 
Labda sio Music genre yangu nimeona chenga tu... nyimbo nyingi wanaiga Nigeria kwani Tz hakuna identity yetu au

Sijapata hata nyimbo moja ya kuongeza kwenye Library yangu, nime play nkaondoka [emoji2213]

2.5/10 [emoji294]️
 
EP ya FOA ya Diamond Platinumz ina jumla ya nyimbo kumi.Binafsi nilipata fursa ya kuzisikiliza zote na ninaweza nikasema kwamba Diamond ameitendea haki Sana hyo EP yake.

Kuna nyimbo kadhaa kwenye hyo EP ambazo nimezipenda Sana ila hizi pini za " Somebody" na " Loyal" ndo zimenibamba zaidi kuliko nyingine zote.
Kwenye kitaa Cha kwetu naona Wana wanaupigia debe Sana wimbo wa Nawaza ila Mimi niliuchukia tu baada ya kumsikia Diamond akimdiss Kiba.

Comment wimbo ambayo umeupenda sana kutoka kwenye EP ya First of All.
ngoja nikipata muda niitafute hiyo EP niisikilize kwanza, then ntakuja kutoa majawabu. hivi kaitoa lini hiyo EP?
 
Labda sio Music genre yangu nimeona chenga tu... nyimbo nyingi wanaiga Nigeria kwani Tz hakuna identity yetu au

Sijapata hata nyimbo moja ya kuongeza kwenye Library yangu, nime play nkaondoka [emoji2213]

2.5/10 [emoji294]️
Hakunaga wasanii wengine waimbe identity ya bongo?? Tafta taarabu na singeli ufurahie identity halisi ya bongo.
 
Labda sio Music genre yangu nimeona chenga tu... nyimbo nyingi wanaiga Nigeria kwani Tz hakuna identity yetu au

Sijapata hata nyimbo moja ya kuongeza kwenye Library yangu, nime play nkaondoka [emoji2213]

2.5/10 [emoji294]️
We ni mpenzi wa singeli au mziki wa pwani?
 
Ni saa chache baada ya msanii wa kizazi kipya anayejiita SIMBA a.k.a Dangote kuachia EP yake aliyoipa jina la FOA na kuonekana kupokelewa kwa kishindo masikioni mwa wadau wa muziki huo wa kizazi kipya.

Hatimae msanii mwenzake Kondeboy ameamua kuachia single moja makini sana aliyooita kwa jina "Bakhresa" ambayo kwa hakika inaonekana kuinyamazisha ile EP iliyokuwa inaimbwa sana midomoni mwa wadau.

Ni DANGOTE vs BAKHRESA.

Enjoy good musics, timu hazina maana.
 
Back
Top Bottom