Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

FOA
Screenshot_20220311-215302_Twitter.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. Mkuu huyu member ni mwana Simba mwenzetu, na amepata kibarua cha kufagia ofisi ya msemaji wetu mpya, kumwita jobless ni kumvunjia heshima
Mzee wa bwaksi, unafiki wako hauuachi tu😂, yele mambo ya kwenye thread zetu kule sports kujifanya Simba kumbe Yanga nilijua huku hautakuja nayo, fala wewe😂😂
 
Nasikiliza genre kibao niko versatile kwenye mziki hapo kwenye singeli sidhan sifaham sana wala hiyo mzik ya pwani

Nasemea Bongo Flava hapa
Kama ni hivyo ujue Tanzania identity zake ni taarabu na singeli tofauti na hapo hatuna mziki wetu hiyo bongo fleva unasema wewe ni muunganiko wa ladha tofauti tofauti ambao tumecopy sehemu nyingine una kuta ina Rnb, zuku, indian fleva n.k
Nasikiliza genre kibao niko versatile kwenye mziki hapo kwenye singeli sidhan sifaham sana wala hiyo mzik ya pwani

Nasemea Bongo Flava hapa
 
Ahahaha yani linapofika swala kulinganisha wasanii hawa wawili ndo utagundua ujinga wa watu.

Ukitaka ujue Platinumz ni mkubwa hapa bongo, angalia idadi ya wasanii anaoshindanishwa nao yeye tu, mara harmo, mara ashindanishwe na kiba😂.

Mashabiki wa Harmo ni wale wanaotaka Mond ashuke tangu zamani, ndomaana leo wapo kwa harmo kesho kwa Kiba.
 
Mpk ss inakimbiza uko dunia ambako ndio lengo kuu
 
Back
Top Bottom