MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
EP ya Diamond ni kali, na imeonyesha anaanza kupata ukomavu kwenye muziki. Akitulia hivi na kuacha matusi-matusi na uswahili atafika ambapo alistahili kuwepo muda mrefu uliopita. Niseme sasa, nadhani mpaka sasa WONDER ndiyo kazi bora ya Diamond Platnumz ya muda wote, aiseeeeeh!