Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

UPUPU MTUPU, UNAKUJA NA ID MPYA KU PROMOTI UTUMBO #Foa #platinumz🤣🤣🤣

FB_IMG_16470259004645889.jpg
 
Niko nyimbo ya tatu naiskilzia apa.... Ila melody n moto mwingine aroo....

Hapa kwenye "fine" cjui kaimba nn apa
 
Mnashindasha original vs clone yake. Mwisho wa siku anawaumiza wasanii wake, Killy kaachia Ep haipi promo hana mda nayo na Anjella nae juzi kaachia nyimbo promo hamna.

Mondi ni msanii mkubwa ambaye mziki wake ushasambaa sehemu nyingi Afrika. Una mzungumzia msanii wa kwanza Tanzania kupiga shows zaidi 95% ya nchi za Afrika ukiondoa za kiarabu.

Huwezi kumzima kivyovyote.Ila jamaa apunguze mabeef naona juzi Fred Vunjabei alimaindi, ila baada kusikia huu wimbo kumbe Harmo kaiponda too much money.
 
Ep sio kali ila ukisikiliza mara ya kwanza utatamani kuirudia tena





Ova[emoji41]
 
Hivi jamaa kachanganya hata lege au ndo kapiga yaleyale ya kujiuma tu..?
 
Back
Top Bottom