Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Kila nyimbo nayoisikia katika hii EP.. is like kama nilishawahi isikia long time ago.....Like producer ame-sample beat fulani then linakataa.

Sio mbaya kila nyimbo pale ni nzuri kutegemea na music genre unayoipenda...Ukiona hujaipenda nyimbo tambua hujapenda Genre ila sio alichoimba.
Punguza kujieleza ep mbaya... Genre kitu gani watu hawapendi raggae ila walikua wanamsikiliza lucky dube
 
kwani huwaga mnataka msikie mavitu gani kwenye nyimbo ndio mseme huu wimbo mkali,
Kila mtu anakitu chake tofauti anachotaka kusikia kwenye wimbo ndio mana wewe unaweza kuona wimbo ni mkali mimi nikaona kawaida au mimi nikaona ni mkali wewe ukaona kawaida
 
Kutokana na aina ya nyimbo ambazo D amekua akitoa hivi karibuni, wadau wengi walidai hana tena jipya la ku offer kwenye muziki. Leo naomba mjitokeze apa baada ya kuwa tiari mmeshaisikiliza Ep yake ya FOA.

Mimi sio team wasafi au team kiba au team konde, lakini siku zote nasisitiza kuwa D ni
msanii ambae ndio mwakilishi wa Tz kutokana na utofauti wa kazi zake. Tujivunie uwepo wake kwa sababu pengo atalokuja kuliacha kwenye mziki ni kama lile aliloacha kanumba kwenye bongo muvi.
 
Msimpe kichwa japo kajitahidi anatakiwa akomae tena atuletee mziki mzr zaid
 
Kwa kuwa inasemekana Sallam Mendez ndiye alipewa nyimbo 40 achague 10 za kuwepo kwenye hiyo EP, naye anastahili credits as well.
-NAWAZA alikaa chini akauandika kwa tafakuri ya hali ya juu.

The dude is genius kuanzia kwenye promo mpaka kwenye launching, ataendelea kuitawala showbiz industry ya East Africa kwa kipindi kirefu.
Streamings za kwenye digital platforms ndipo tutakapopata mrejesho wa jinsi EP inavyopokelewa.
 
Back
Top Bottom