Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Africa nzima hatimaye imesimama.

Ni shangwe kila kona mitandaoni mpaka mitaani.

Roho zimesuuzika kiu imekatwa.

FOA imekuwa FOA kwenye mdomo wa kila mtu ndani ya bara la Africa.

Hakuna wimbo wa ku-skip

History nyingine inaandikwa na mfalme wa afro pop.
 
Kila nyimbo nayoisikia katika hii EP.. is like kama nilishawahi isikia long time ago.....Like producer ame-sample beat fulani then linakataa.

Sio mbaya kila nyimbo pale ni nzuri kutegemea na music genre unayoipenda...Ukiona hujaipenda nyimbo tambua hujapenda Genre ila sio alichoimba.
 
Africa nzima hatimaye imesimama.

Ni shangwe kila kona mitandaoni mpaka mitaani.

Roho zimesuuzika kiu imekatwa.

FOA imekuwa FOA kwenye mdomo wa kila mtu ndani ya bara la Africa.

Hakuna wimbo wa ku-skip

History nyingine inaandikwa na mfalme wa afro pop.
Neno "kila mtu" linakosa maana stahiki kwasababu mimi na familia yangu hakuna mmojawapo anayejua FAO ni nini wala kuiongelea.
 
Africa nzima hatimaye imesimama.

Ni shangwe kila kona mitandaoni mpaka mitaani.

Roho zimesuuzika kiu imekatwa.

FOA imekuwa FOA kwenye mdomo wa kila mtu ndani ya bara la Africa.

Hakuna wimbo wa ku-skip

History nyingine inaandikwa na mfalme wa afro pop.
"Mtasubiri "😍😍🔥🔥🔥🔥👍👍👊👊
 
Back
Top Bottom