Kama hakumshirikisha Hbaba haiwezi kufika mbali 🤣Ijumaa hii ya tarehe 11, diamond platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii
Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia kubwa sana katika mziki wa bongo flavour na kuvunja rekodi mbalimbali afrika kwa ubora na tuzo zitakazobebwa
Ni suala la muda tu
NAWASILISHA
Biashara ni matangazo na ww..! Hivyo hiyo tarehe 11 naamini hata ww unaisubiria kwa hamu ili kutafuta pa kuponda.Kwa haraka haraka Ep itakua mbovu sana.
Sasa kama anajua Ep yake ni nzuri na itakua kali kuliko zote kwanini apoteze mamilioni ya pesa kuifanyia "promosheni" siku 3 mfululizo?
Ep kali zinajiuza zenyewe bana kwa masongi makali jombii.
kiingereza kina sound good mzee... Hata marehemu kanumba alilijua hili ndo maana jina la muvi kiingereza ila content ni kiswahili...hivi kwanini siku hizi wanapenda kutumia majina ya kingereza wakati nyimbo ni za kiswahili na mbaya hayo majina hayabebi maudhui halisi
Eti ndo kuwa international 🤣🤣🤣hivi kwanini siku hizi wanapenda kutumia majina ya kingereza wakati nyimbo ni za kiswahili na mbaya hayo majina hayabebi maudhui halisi