B I N A M U
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 1,495
- 2,403
Melody
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuambia mondi kafanya EP Kali Sana kuna moja inaitwa Fine hii ngoma ni hatari Sana nairudia Mara nyingi Sana kuisikilizaNimesikiliza EP for the second time..
Nafanya re-rating
9/10
Diamond katulia sana kwenye hizi track..production iko poa
Kuna goma sema kama essence ya Kidayo.
Sikiliza wimbo wa Fine ni noma sanaMelody
Sikiliza wimbo wa Fine ni noma sana
Ep ni kali mkuu, ni kweli loyal inasound kama essence.Nimesikiliza EP for the second time..
Nafanya re-rating
9/10
Diamond katulia sana kwenye hizi track..production iko poa
Kuna goma sema kama essence ya Kidayo.
Naaam, wimbo wa FINE nao ni moto mkali sana, sasa ule ndiyo mfano halisi wa Afro-Fusion.Umesikilza " FINE "mkuu ?[emoji4]
pain successifully landed and well received[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] EP imechunda haina hata maajabu, yaan imejaa nongwa, mipasho na ukuda, woiiiiiiiih.
Sasa lulu, kiba, mange wanahusu nn? Asingewataja isingeuza? Hahahahah kaishiwaaaaaaaah. Domokayaaaaaaaaaaaaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahahahaa huyo dogo bado sana.
Unaposema Kiba 'hakuna mtu asiyemkubali' sijui unakuwa umetumia akili zako kabla ya kuandika au unaandika ili mradi umeandika tu.Uko sawa sijajua kama diamond alikua anaandikiwa mashairi(ghost writer) au alikia anaandika mwenyewe mana ukisikiliza nyimbo kamwambia,mbagala na nyingine kali zs mwanzo zilikua zimeshiba mashairi lakn sasa hivi anatunga mashairi mepes sana na yakuunga unga sana... msikilize ali kiba mashairi yake yalivyotulia na yameshiba kila akitoa nyimbo hamna mtu asiyemkubali anachora sana kitu bacho wasanik weng hawana
Na mfuko unaupata vipi, lazima nyimbo zako ziwe zinakubalika, zinunulike ili upate pesa za kutosha uweze kufanya promo.Namba unaweza kuzipata hata kwa Promo. Ni suala la mfuko wako tu.
Wanawake bana😁[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] EP imechunda haina hata maajabu, yaan imejaa nongwa, mipasho na ukuda, woiiiiiiiih.
Sasa lulu, kiba, mange wanahusu nn? Asingewataja isingeuza? Hahahahah kaishiwaaaaaaaah. Domokayaaaaaaaaaaaaaaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app