Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

HUELEWEKI, INSHORT EP NI MBOVU.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Japo inauma lakini ivumilie tu inavyozidi kukuingia taratibu, ndiyo kupona kwenyewe.

It's still breaking records in case you haven't heard, the dude's EP is more than super awesome.
Visit the digital platforms streamings and see wonders.
 
Oya lagaligila (Fresh!)

Ifungwe counter ifungwe bar (Fresh!)

Si hatulali jama (Fresh!)

Na wakifunga tunahama (Fresh!)[emoji482]

Sisi walevi tumepata jimbo letu la kulewea hatuna tatizo nae
 
Matumizi sahihi ya 'yoyote' na 'yeyote'
---
Maneno haya kidogo yanafanana kimaumbo na kimatamshi, ila yana matumizi tofauti kabisa.
---
Kwa muktadha wa upatanisho wa kisarufi:
  • Yoyote = Hutumika katika vitu visivyo na uhai.
  • Yeyote = Hutumika katika vitu vyenye uhai.
---
Hivyo kasomi alipaswa kutumia neno yoyote.
I salute chief,

Asante kwa nyongeza nimechukua madini.
 
Dunia ya leo atubishani kwa maneno tupu km wajinga dunia ya leo tunabishana kwa takimu nazan tuipe wiki 1 takwimu zitasema km ni ep bora au ni EP mbovu

Lakin mkianza bishana kuna watu wa konde na kiba hawawezi kubali kuzidiwa japo watu wao hawawezi enda wala Ishi bila kulinganishwa na SIMBA
 
EP Mbaya kinoma

Kwanza amefanya kuwaiga wanaigeria hadi amepoteza identity yake.

Pili amejaribu kumuiga konde kuimba vingeleza

Tatu nyimbo mbili tu at least unaweza kukaa na kusikiliza, aliyoimba na zuchu na aliyoimba na mboso
 
Back
Top Bottom