Wewe umesikia vingeleza vya kijinga kama vya mmakonde humo?
Yule ni versatile artist ndomaana unaona kuna genre mbalimbali za uimbaji kwenye hiyo album, hii hoja ya Identity mimi huwa siielewi kabisa maana mpaka sasa hakuna mziki mond kaacha tangu aanze kuimba, kuanzia Bongoflava, Afro, Rhumba, Taarabu , Singeli, dance , bado hamjajua ni msanii wa aina gani?
Hayo mambo ya Identity watafanya ma- underground ili kuwaridhisha watz pekee, yeye acha adili ni kila soko lake.
NB: SIKATAI MAWAZO YAKO, ni kweli kwako wewe Album ni mbaya ila nimepinga sababu ulizotumia ku-justify kauli yako.