Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Nilizaliwa miaka kadhaa iliyopita. Katika familia ya watoto 7,mimi nilikuwa wa 6.

Kama watoto walivyo, nilikuwa mtundu kiasi ila sio mtukutu. Nakumbuka nikiwa darasa la 5,niliitwa mbele na ticha nikafanye swali la hesabu. Nikafanya swali kwa mbwembwe, nilikuwa nasumbuliwa na mafua, kabla sijaondoka pale mbele nikatoa leso ili nijifute. Wakati naitoa, kibox cha
Kile kifurushi kilivyoibwa pale Mbezi ile ndio inaita #MjiniShule101
 
Umenikumbusha ngoma flan ya Madee inaitwa Historia,Kuna Line flan anasema,

Nina story mbaya imeganda ubongoni,/
Nishapigwa na visu na machiz kinondon,/

Me mwenyew niliwah kuleta uchiz kama wako kipindi nimemalza la saba pale mwenge primary mwanza.

Tukianza kuhadithia hapa kuna watu watasema ni story tu lkn watu tumeptia life la ajabu mpk tukitulia huwa tunajiuliza "Hivi ni sisi tuko hai saivi"!!
 
Hadithia mkuu .
 
Inaendelea.....

...Mwenyeji wangu hakupatikana hadi kunakucha. Usiku huo ilibidi nijilaze mle mle stand ya mkoa. Na hata asubuhi nilipomtafuta, alipongundua ni mimi, mtandao ukaanza kuzingua. Mara hanisikii vizuri. Simu hakupokea tena, na mimi nikaamua kuachana nae.
Mkuu hii riwaya yako si mchezo.. Kwa tusiopeleka yale maji ya gold ijumaa imekaa mahala pake.
Tunasubiri sehemu ya tatu
😎😎😎😎😎
 
Pole rafiki kwa kua hoi[emoji23][emoji23]
Vile nilivyo hoi rafiki![emoji116]
_20190614_172623-1.JPG
 
nilipomuona na mm ndio nikamwaga sabuni ya unga na maji kwenye zile malumalu. Kaja na hasira, alipiga mwereka sio wa nchi hii,alijibamiza chini hadi nikamuonea huruma. Usiku wa siku hiyo ndio ilikuwa siku ya mwisho mimi kufanya kazi na kulala kwenye nyumba hiyo...

Wewe aiseeeee duh

Nimebaki mdomo wazi.. eeeeeh uliyataka shaaaa
 
Back
Top Bottom