Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Baba endelea achana na hao wazee wa Vishazi huru wanawaza kudanganywa kwa sababu wamezaliwa kwenye familia za magari.
Flow ya maji huwa ni upande mmoja. Bomba unapolikata flow inabaki ya kule yanapotoka, alaf huu upande mwingine unaoingia kwenye nyumba maji huwa hayapo. Ilo ndio nilitanua, nikaingiza kipande cha bomba. Nacho nikakitanua ndio nikaingiza lile lenye flow ya maji.

Siwezi nikaandika kila kitu kama jinsi kilivyotokea,tutakesha. Kumbuka naandika kulingana na matukio ninavyoyakumbuka, sio kwamba nakopi na kupesti toka sehemu.
 
Back
Top Bottom