Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha...

Kile kifurushi kilivyoibwa pale Mbezi ile ndio inaita #MjiniShule101
 
Umenikumbusha ngoma flan ya Madee inaitwa Historia,Kuna Line flan anasema,

Nina story mbaya imeganda ubongoni,/
Nishapigwa na visu na machiz kinondon,/

Me mwenyew niliwah kuleta uchiz kama wako kipindi nimemalza la saba pale mwenge primary mwanza.

Tukianza kuhadithia hapa kuna watu watasema ni story tu lkn watu tumeptia life la ajabu mpk tukitulia huwa tunajiuliza "Hivi ni sisi tuko hai saivi"!!
 
Hadithia mkuu .
 
Mkuu hii riwaya yako si mchezo.. Kwa tusiopeleka yale maji ya gold ijumaa imekaa mahala pake.
Tunasubiri sehemu ya tatu
😎😎😎😎😎
 

Wewe aiseeeee duh

Nimebaki mdomo wazi.. eeeeeh uliyataka shaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…