Naitwa Nyafwili, Naomba mnipokee hapa JF

jitambulishe unaishiwapi picha yako weka tukuone ili tuweze kukupokea mkuu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, nimeangalia threads kadhaa lakini sijaona members wanatuma pictures za utambulisho.
 
Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu
 
Karibu mkuu hii ndio jamiiforums kuna kila aina ya watu, mada na tabia unazozijua ww ila angalia usipigwe ban tu
πŸ€’πŸ€’, Asante sana kwa kunipa taarifa, jamaa anataka kunipeleka chaka πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…