Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 4,240
- 10,561
- Thread starter
- #61
😄😄, mkuu huku kijijini kwetu tunasafisha nyota kwa shilling 2000 tu, na moja wa njano.Karibu bwana Nyafwili,..pia MIMI ndo MGANGA wao humu ndani,..lipia 50,000 nikutengenezee dawa ya kutopigwa BAN.,..pia ntasafisha nyota yako upendwe na mabint wooote humu JF.,..🤭🤭