Wewe ni me au ke?,..usisahau kuweka namba yako ya simu tukuunganishe group letu la watsappπHabari wakuu,
Nimejiunga na JamiiForums leo tarehe 27/11/2023. Naomba kukaribishwa kwenye jukwaa.
π Yako ya zamani ambayo umeitelekeza ni ipi?πππ, nimeangalia threads kadhaa lakini sijaona members wanatuma pictures za utambulisho.
NAKAZIA ππ¨Kijana.. huku sio FB ukiweka utumbo hauwezi kuufuta.
Na tutautumia huo utumbo kama reference mara kwa mara pale tutakapokuwa na Mashaka na Akili yako.
Mkuu kumbe na wewe ni dume? [emoji15]Mi ni Dume kiongozi,
Udume wa aina hii inabidi uangaliwe sanaMimi ni Dume kiongozi [emoji3578][emoji3578]
ππππ Mimi ni Dume kiongozi, Namba yangu ya simu ni 07oo
Kipato changu bado ni kidogo mkuu, nikipata pesa nitanunua ndingaππbwana nyafwiri hapa jf ukiwa mwongo jifunze kuwa na kumbukumbu kuna kitu kinaitwa kufukua makaburi. Kila wakati kuwa makin na unachoandika kuna watu wamekimbia ID zako.
Mwisho kabisa kama huna gari nunua maana wanaume wote humu JF tuna ndinga kali na sio bebiwoka.
Udume wako unatia shaka sana, japo sina sababu za msingi. Anyway tukubali tu kuwa na wewe ni dumeKwa nini mkuu [emoji855][emoji855]
Wewe ndo ulienda kusomea ujinga, kasema yeye KILANJA siyo KIRANJA! Muulize ni lugha gani? Halafu muulize kwa kiswahili maana yake nini?Kiranja.
Huko shuleni mlienda kusomea ujinga?