Najaribu kufikiria kama tungewapambanisha Samia, Magufuli na Lissu leo ungemchagua nani?

Najaribu kufikiria kama tungewapambanisha Samia, Magufuli na Lissu leo ungemchagua nani?

Nafahamu fika Hayati John Magufuli hatarudi duniani. Hata hivyo, kulingana na wanavyomjadili wabaya na wapenzi wake na yale yote mazuri na mabaya aliyotenda kama binadamau, bado tuko naye kiroho kama siyo kihistoria.

Katika kuwa-assess viongozi wetu walio hai ili wajue hisia zetu na wajirekebishe au kuongeza ufanisi, kama leo ingetokea tukawapambanisha watatu hawa katika kinyang'anyiro cha kumsaka anayefaa kutuongoza na kulinda raslimali zetu, ungemchagua nani.

Kumbuka hii ni hypothesis inayolenga kuwapa tahadhali na somo viongozi wetu. Twende kazini.

View attachment 2693542
Lissu anawashinda wengine kwa mbali sana.
 
Wenzio wanapigania bikira 72 na wewe ilishatoka
Nani alikiudanganya, idadi ndogo sana hiyo, hakuna idadi ni uwezo wako tu, kama 100 au 200 au 1000. Upendavyo.

Khee kwani bikra ni wanawake tu?
 
Back
Top Bottom