Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Sawa katoe ila ukifikisha miaka 30 uje tena kutulalamikia mimba upati katoe mama vizuri sana...
 
Nakusihi sana usiitoe hip mimba, hicho kichanga wala hakina kosa lolote. Kihurumie nakusihi sana! Kuna mambo nikikumbuka najuta sana moyoni, usikubali kupata majuto yangu
 
Nilitamani kukutumia ujumbe PM kukusihi usifanye hivi bahati mbaya sana umefunga PM zako, anyway, usitoe hio mimba
 
ukitoa hiyo mimba hautakuja kuzee tena ukiolewa. nakushauri tu, hii msg utakuja kuikumbuka. wengi wamefanya hivyo wakaishia majuto.
 
Wewe ndo utakuwa mwehu zaidi. Kwanini unatetea utoaji mimba? Jambo ambalo ni kosa kwa sheria za Tanzania, sembuse kiimani? Kiimani ni dhambi.
 
Nilikuwa nalaani sana mwanamke anayetoa mimba nikaona ni kama shetani nikamchukia mwanamke anayetoa mimba,

LOL NIKAJA KUJUA KUWA SIO KILA MTOA MIMBA ANATOA TU KIMAZOEA BAADA YA KUWAPA WANAWAKE WAWILI MIMBA NA WOTE SIKUWA NA MALENGO NAO. LOL ROHO YA KUTOA IKANIINGIA NIKAZITOA ZOTE

kumbe sio kila mtoaji anakuwa anatoa kwa kupenda
 
Watu tunasota miaka yaani hata ya bahati mbaya,asee......[emoji120]
 
Wewe ndo utakuwa mwehu zaidi. Kwanini unatetea utoaji mimba? Jambo ambalo ni kosa kwa sheria za Tanzania, sembuse kiimani? Imani zote kuu za zilizopo Tanzania za Uislamu na Ukristo, kutoa mimba ni dhambi.
 
wengi waliotoa mimba huwa hawaji kuzaa wakija kuolewa, ni laana hiyo. angalia usije kuja kuikumbuka hii msg when its too late.
 
Hao wanawake nao hawajielewi[emoji41]
 
Una roho ya kikatili sana wewe.

Yani mwenzako anaona ni mda sahihi mfanye maisha we unaona bado unahitaji kula bata.

Utaona madhara yqke badae
 
Hiiii yaani unaenda kutoa ka president, minister,actor, presenter na ka bilionea fulani hivi Harafu baadae uzae ka Hamza hiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…