Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Najihisi kama muuaji ila inabidi nifanye

Aseee Kuna wanawake akili zao zipo kwenye Matacre
Wewe dada ni Moja ya vile vi slay queen uchwara mbwembwe nyingi akili kisoda!
 
Atanisamehe kwa kumuita mwanamke asiejielewa! Kwasababu mtu anaejielewa huwezi kuweka ubinafsi wake mbele linapokuja suala la watoto!

Kwani hakujua matokeo ya ngono? Au hakufahamu siku zake sawasawa kiasi cha kuruhusu kubeba mimba?.. wewe dada Mungu anakuona
Inaonekana wee hujawai hta kusikia neno bahati mbaya kwenye maisha. Vitu vingine vina tokea bila mpango
 
Bado hujatoa tu katoe bana fanya haraka dear usichelewe goo goo please gooo now gooo kaitoe nenda haraka wahii nendaa kaitoe nenda sasa usigahir nenda usisite wahii usijutie nafsi yao do hurry please nenda mama e kesho asubuhi ,ya wiki nne tu hata nyumbani unaitolea wahi kabla haijakua .utapata ingine nayo usiisite kuitoa goo now . Uo uzazi wako ungempa mgumba mmoja angekushukuru sana. Na iyo mimba usipoitoa ukamzaa uyo mtoto atausumbua nusu ya kukutoa roho
 
Yaani binti wewe ndio umefikia hapo!!! Bado upo huko njena wazazi wako au uliporudishwa kwa Bibi yako hapa nchini!!! ikawaje ukatoka na mtu mzima. Hongera kuwa unaendelea na masomo. Ila kutoa mimba, hapana aiseee isije kuwa ndio hiyo hiyo uliopewa. Maisha yako ya nyuma uliyoandika.. umeishia hapa!!! Anza kusali

Umenisikitisha.
 
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye.

Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya ivi bila kumshirikisha my fiance wala familia yngu. Hakuna mtu anajua km ni mjamzito zaidi ya rafiki yangu.

Hyu mchumba wngu tume engaged mwaka huu mwezi wa nne. Tokea tuwe engaged kumekua na kutoelewana mara kwa mara tunatofautiana mitazamo na malengo. Mara ya mwisho tumekorofishana tuka kaa wiki 3 bila kuongea hakuna mtu anampigia simu mwenzake au message. Tukaja kupatana na ndio nmepata mimba.

Sina mpango wa kuzaa kwa sasa kwan bado nasoma pia umri wngu hauruhusu bado nna safari ndefu ktk maisha. Kwanza mtu mwenyewe anahisi simpendi yeye napenda pesa zke tu kisa tunatofautiana malengo.

Kuwa na mahusiano na mtu aliekuzidi miaka mingi ni kazi sana kwasababu wakati wee unahisi mda wa kufanya kitu fulani haujafika mwezako anahisi ndo mda sahihi kwake kufanya ivo. Anyways, kesho naenda kuitoa hii mimba niombeeni maombi kla ktu kiende sawa
Kwy siku mmeonana tu kuombana msamaha mkanyanduana[emoji1787][emoji1787]
 
Hujitambui. Hugo malaika wa Mungu analindwa na malaika , kesho utakufa wewe
 
Wewe ndo utakuwa mwehu zaidi. Kwanini unatetea utoaji mimba? Jambo ambalo ni kosa kwa sheria za Tanzania, sembuse kiimani? Imani zote kuu za zilizopo Tanzania za Uislamu na Ukristo, kutoa mimba ni dhambi.

Nasema hivi; kama mimi ni mwehu wewe ni mwehu zaidi yangu, hivi unaelewa ninachosema au ndio umeshiba Alkasusu kutoka katika vijiwe vya kahawa??!!.

Sikiliza kwa makini na tuliza akili yako kama unanyolewa; nimesema KUTOA MIMBA BILA SABABU ZA MSINGI NI DHAMBI lakini SIO DHAMBI YA MAUAJI, ugomvi wangu ni kuunganisha kutoa mimba na UUAJI, na nimekwisha eleza ni kwa namna gani kutoa mimba sio mauaji.

Mimba ni njia halali aliyoiweka Mungu ili sisi binadamu na viumbe wengine tuongezeke, bila kupitia mimba sisi sote tusingalikuwepo, mimba ni mali ya baba na mama sio mali ya mama pekee na inapofikia suala ya kuitoa ni lazima wawili hao wakae pamoja kuamua, mfano kama ikathibitika (in the run) na Daktari kwamba mimba itahatarisha uhai wa mama pamoja na uhai wa mtoto akili na Busara huwa ni hii; MIMBA INATOLEWA kunusuru maisha ya mama PEKE YAKE na wakati huo maisha ya mimba wala hayapewi uthamani mbele ya maisha ya mama, katika hali hiyo ni Mwehu gani atakayesema kwamba hao madaktari wemefanya MAUAJI??--- nanasema mimba ikiwa tumboni ni kama sehemu ya mwili wa mbebaji haina "independence life" kiasi kwamba tuseme kuitoa ni kuua kiumbe chenye "independence life". Kuua ni kutoa uhai wa kuimbe chenye uhai wake binafsi yaani uhai wake unategemea kuvuta hewa ya nje, chakula cha nje na kinajitambua na kutambua ulimwengu wa nje, ni NAFSI inayojitegemea yenyewe kuishi, mfano mtoto akizaliwa mara moja anaanza kuvuta hewa, kunyonya mwenyewe kwakuwa nafsi yake ya utambuzi ni independent kwa mama lakini ni dependent kwenye mazingira anamoishi, na anakuwa registered kwa Mungu kama binadamu KAMILI huyo ukimuua hapo ndipo Umefanya MAUAJI.

Narudia kusema; kutoa mimba BILA SABABU ZA MSINGI ni kosa na dhambi mbele ya Mungu LAKINI SIO KOSA LA MAUAJI.
 
Wewe siyo mwehu tu ni takataka kabisa.
 
Back
Top Bottom