sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sidhani kama kuna siku nishawahi kua offline 😃😃🤦♀️🤦♀️, labda nipoteze simu napo hazitazidi siku mbili lazima nirudi tena
Hii hali inatesa sana yani.. unakuta unajipangia siku usiwe online lakini unajikuta tu automatically upo🤦♀️Upewe tuzo yako 🏆
Siku Ukiwa na Biashara Unayoisimamia Utakuwa Hewani tu..Mimi kila mwaka huwa natenga wiki moja sipatikani kwenye simu, situmii intaneti, sisikilizi radio wala kutazama tv. Ila huwa nakuwa mazingira fulani hivi ya kijijini. Hata kuanzia tarehe 2 hadi 8 januari napotea hewani.
Ukikaa muda huo unahisi kama akili imerelax sana, unahisi kupata uzoefu mpya ambao haujazoea.

😃😃😃Uraibu mbaya sana huu, Mungu asaidie kwa kweli. Siku moja offline ni sawa na mwaka. Inabidi niiweke kwenye mikakati ya 2024...
Umefurahi sana..🤣nimesema ukweli wangu!
Nimefurahi kuona siko pekeyanguUmefurahi sana..🤣nimesema ukweli wangu!
Hapo umebadili aina ya uraibu tuuMimi kama ina vitabu na movies stored, hata wiki nzima inakata kabisa.
Hii hali inatesa sana yani.. unakuta unajipangia siku usiwe online lakini unajikuta tu automatically upo🤦♀️
Hapo kweli mtihani. Kwa mimi huwa inawezekana kwa sababu nakuwa likizo. Hata watu ninaopiga nao mishe za kitaa huwa nawaambia naenda kijijini kwa hiyo kama kuna kazi inayohitaji uwepo wangu wanisubiri wiki.Siku Ukiwa na Biashara Unayoisimamia Utakuwa Hewani tu..
Yaani Mimi Ni Mfanyabiashara wa Taa mjini na Nina Page ya Biashara Natakiwa Kupost Kila Taa Mpya Au Kifaa Kipya Na Nina Wateja Mpka Nje ya Nchi Useme Nizime Simu Week Nzima??