Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

Najihisi nimekuwa mraibu, Wangapi mmeweza kutumia smartphone / laptop siku nzima bila kutumia internet ?

Inasikitisha sana mkuu

Nimejifunza kwa familia ya rafiki yangu ya wamejitia nidhamu kuna muda ukifika wanaweka simu pembeni wanapiga story na mke wake na kucheza cheza na watoto wao wadogo.

Nimeona upendo na furaha vimeongezeka.

Nikamuuliza jamaa yangu amefauluje akasema mwanzo mgumu lakini sasa hivi imekuwa kama sehemu ya maisha yao
Hiyo mbona inafanyika sana tu, lakini ukipiga hesabu ya mda unaotumia online na unaotumia home na familia haviendani. Tupo busy sana na simi mkuu, sio sawa ila ni basi tu umeshakuwa uraibu.

Labda tufanye maamuzi ya dhati kubadilisha hii tabia.
 
Inatikiwa kuipa familia muda wako unaporudi nyumbani.

Kuna mambo mengi yanayoweza kufanywa ili kujenga engagement kama wanandoa au familia
 
Back
Top Bottom