Nimejifunza kwa familia ya rafiki yangu ya wamejitia nidhamu kuna muda ukifika wanaweka simu pembeni wanapiga story na mke wake na kucheza cheza na watoto wao wadogo.
Nimeona upendo na furaha vimeongezeka.
Nikamuuliza jamaa yangu amefauluje akasema mwanzo mgumu lakini sasa hivi imekuwa kama sehemu ya maisha yao
Hiyo mbona inafanyika sana tu, lakini ukipiga hesabu ya mda unaotumia online na unaotumia home na familia haviendani. Tupo busy sana na simi mkuu, sio sawa ila ni basi tu umeshakuwa uraibu.
Labda tufanye maamuzi ya dhati kubadilisha hii tabia.