Najilaumu sana kutokuchukua masomo ya Science, hasa Physics na Chemistry

Ukweli mchungu watu wa IT na ICT kwa mifumo ya sasa wanaweza kufanya chochote na kupata ajira.

Watu wa IT ni muhimu kwa sana
 
Kufika mbali hakuendani na Science Life.
Science now imekuwa broad range.Scientist are Public speaker.They are enjoys with Laws and Formulars.
 
Nakubali lakini Nafikir mdau hakua anamaanisha hiki ulichoelewa wewe. Hazungumzii mafanikio ya kutolana na kile ulichosoma anaongea kuhusu uwezo wa kufanya great things in science and technology. Hao wengine wanaweza wkafanya great thing on the other sides lakin sicho anacho admire jamaa hapa nadhan
 
Correctly you got it
 
Mimi sidhani kama ni hoja hasa kwenye masuala mengine unaweza jifunza.
Mimi napiga ma php, python na majava nina ma info ya kibao na ni mwendo wa kujfunza mwenyewe tu na wala sikusoma ma physics baada ya form 4.
Hayo ndo manini na unajifunzaje?
 
Yaap nakubaliana na wewe hicho kitu lakini hutaweza enjoy litakapo kuja swala la kazi nje ya Laptop yako.Science yako ni ndani ya Comp isio na uwiano wa physics
Zipo fields Programmers wana-practice na Physics na siyo kwenye Computer tu.

Mfano Software Engineers wanaofanya kazi SpaceX, tasks zao ni: developing, analysing & verifying kwenye mchakato mzima wa kuunda softwares za kurusha rocket.

Hata kazi za ASIC/FPGA designing zinahitaji Engineers kutoka kwenye mechanical, civil, electrical & chemical engineering wenye uzoefu wa programming: VHDL.

Kwahiyo Programmers wanaohusika na Physics wapo ila kwenye maeneo kama hayo yanayofanya projects kubwa zinazokutanisha watu wa fani mbalimbali.
 
What if become to our local oportunities.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…