General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,190
- 2,508
- Thread starter
- #61
Cocastic mwenyewe upoo hata humu...Maana Nyuzi zako zinajulikanaBora umuambie kabisaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cocastic mwenyewe upoo hata humu...Maana Nyuzi zako zinajulikanaBora umuambie kabisaa.
Kufika mbali hakuendani na Science Life.Ufanisi ndo utaleta utofauti katika jambo ikiwa MTU aliyesoma kiswahili Kwa lengo la kuwa fanisi na kuifanya hii lugha kuleta utofauti mfano Msomi Wa arts Wa kiswahili anaweza kufika mbali Sana kumzidi MTU Wa Physics akiyekariri theory tu na ndo wengi.
Nakubali lakini Nafikir mdau hakua anamaanisha hiki ulichoelewa wewe. Hazungumzii mafanikio ya kutolana na kile ulichosoma anaongea kuhusu uwezo wa kufanya great things in science and technology. Hao wengine wanaweza wkafanya great thing on the other sides lakin sicho anacho admire jamaa hapa nadhanUfanisi ndo utaleta utofauti katika jambo ikiwa MTU aliyesoma kiswahili Kwa lengo la kuwa fanisi na kuifanya hii lugha kuleta utofauti mfano Msomi Wa arts Wa kiswahili anaweza kufika mbali Sana kumzidi MTU Wa Physics akiyekariri theory tu na ndo wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mada ni jinsi ya ku clamatise na hii Dunia ya sasa katika ulimwengu wa science.Nina kazi na mke mmoja na michepuko.
Correctly you got itNakubali lakini Nafikir mdau hakua anamaanisha hiki ulichoelewa wewe. Hazungumzii mafanikio ya kutolana na kile ulichosoma anaongea kuhusu uwezo wa kufanya great things in science and technology. Hao wengine wanaweza wkafanya great thing on the other sides lakin sicho anacho admire jamaa hapa nadhan
Hayo ndo manini na unajifunzaje?Mimi sidhani kama ni hoja hasa kwenye masuala mengine unaweza jifunza.
Mimi napiga ma php, python na majava nina ma info ya kibao na ni mwendo wa kujfunza mwenyewe tu na wala sikusoma ma physics baada ya form 4.
Coding mkuu. Kuunda programs na systemsHayo ndo manini na unajifunzaje?
Zipo fields Programmers wana-practice na Physics na siyo kwenye Computer tu.Yaap nakubaliana na wewe hicho kitu lakini hutaweza enjoy litakapo kuja swala la kazi nje ya Laptop yako.Science yako ni ndani ya Comp isio na uwiano wa physics
What if become to our local oportunities.Zipo fields Programmers wana-practice na Physics na siyo kwenye Computer tu.
Mfano Software Engineers wanaofanya kazi SpaceX, tasks zao ni: developing, analysing & verifying kwenye mchakato mzima wa kuunda softwares za kurusha rocket.
Hata kazi za ASIC/FPGA designing zinahitaji Engineers kutoka kwenye mechanical, civil, electrical & chemical engineering wenye uzoefu wa programming: VHDL.
Kwahiyo Programmers wanaohusika na Physics wapo ila kwenye maeneo kama hayo yanayofanya projects kubwa zinazokutanisha watu wa fani mbalimbali.
Umenikumbusha Uni yangu...Masomo ya sanaa na masomo ya sayansi ni kitu kimoja.
Zinajulikana nn [emoji23][emoji23][emoji23]Cocastic mwenyewe upoo hata humu...Maana Nyuzi zako zinajulikana