Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

Hivi ujasiri wa kuvuana nguo bila kujuana afya zenu mnautoa wapi?!
Humu JF kila siku mnaambiwa kuna yutiyai sugu na gono za kutosha lkn hamsikii?!!
Nyie endeleeni kupenda kuloweka hovyo mtaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo sisi wanaume kichwa cha chini kina nguvu sana hasa ukiwa na demu karibu.

Mimi ndiyo maana ukifungua droo yangu unakuta chini kabisa nimeweka silaha za muhimu maana muda wowote ule vita haipo mbali.

Sijui wanaume wengine wanapata wapi ujasiri wakutoweka hata ndani boksi zima la zana
 
Pamoja na jina la natumaoni(Fortune)bado unajikatisha taamaa,maisha ni bora sana na mapambano ni mwanzo mwisho hadi kieleweke bila kujali changamoto unazopitia kila kitu kinaufumbuzi chini ya jua.
 
Dah umenikumbusha ktambo sana ni miaka kama tisa imepita niliwahi kukutana na scenario kama yako lakn mm demu alinichana kabisa akuwa yeye alizaliwa nao na kuna mdogo wake kwa pembeni alkuwa yupo nae akasema hata huyu mdogo wangu kazaliwa nao, aisee nilichoka sanaa sitasahau ile moment katika maisha yangu.
Mm nilianza kuona dalili za syphilis nikaenda pima nikakuta imo kaswende kali sana, jamaa wa maabara akanambia mara nyingi kaswende na ukimwi huwa vinaenda pamoja so nijitahidi nipime na HIV.
Huwezi amini niligoma kupima hio ktu kwa mda wa wiki mbili afu kibaya zaidi nna demu wangu namkubali nae nilipita nae siku ya nne toka nichafue upande ule kwahyo dah nikawa na maumivu mawili nmeungua mm na haitoshi nimemuunguza mtoto wa watu ambae ni very innocent.
Hio ktu ilinitafuna nikaisha kichizi, ikafka mda nikaona hapa ngoja nishirikishe washkaji walau naweza kupata relief kila mtu akawa ananiambia niende kupima. By three weeks nkaanza kuona dalili kama za ukimwi hivi hapo ndo nikaisha kabisa nilikata tamaa, ucku wa manane nashtuka jasho linamwagika mwili mzma kitanda hakilaliki ucngz hauji, no appetite yaani kwa kifupi kila ktu changu kikavurugika hustle zangu zikasambaratika na chuo tulkuwa tushafungua lakin niligoma kurud chuo kuendelea.
Aliekuja kunitoa hofu na kupata nguvu za kwenda kupima ni yule demu wangu baada ya kumficha sana ikafka stage ikabd nimwambie ukweli, akalia sanaa yani siku namwambia ilkuwa kama kapata habari ya msiba vile.
Nkarud zangu home na yeye akaenda kwao, lakn cha ajabu yule manzi akapata ujasiri wapi sijui ucku uleule akaanza kunambia yeye haamini kama tumeungua tufanye mpango twende hospital tukapime, nilkuwa mbishi sana kwenda kupima kwa sababu kutokana na yule mwanamke niliepita nae alinithibitishia kabisa kuwa yeye ni Hiv+.
Lakin kuna siku nilikaa nikawaza ntaishi maisha yale mpk lini, ikabid nmpigie yule demu wangu kuwa nmekubali twende tukapime kesho yake, hapo ikiwa zmepita week nne.
Tulipima wote na kipindi tunasubiri majibu nusu nikimbie lakin yule manzi yangu akanihold kuwa hata nikiondoka haitasaidia majibu lazma ntayapata. Baada ya kupewa majibu tukawa fresh ila skuamini nilirudia vipimo ile cku katika hospital nne tofauti lakn vipimo vikaja negative.
Kwa kifupi nilipima si chini ya mara 12 katika vipindi tofauti lakin nlkuwa clear mpk Mara ya mwsho kuna doctor akanambia usiendelee kupima tena utakutana na pigo afu litakufanya uhisi vipimo vyote ulivyofanya awali havikuwa sahihi.
Nilimshukuru Mungu na kuacha anasa za kijinga toka nipitie huo msala, gues what yule demu wangu ndio mke wangu mpk sasa nilioa na tuna mtoto mmoja sasa and life is good.
 
Ooh hongera Sana mkuu. Hii inatia matumaini, mm kilichopo akilini mwangu sasa, kama Mwenyezi Mungu akinivusha katika hili and hope atanivusha, hili litakua funzo langu, katika kila ninalofanya umakini utahusika sana
 
Hivi ujasiri wa kuvuana nguo bila kujuana afya zenu mnautoa wapi?!
Humu JF kila siku mnaambiwa kuna yutiyai sugu na gono za kutosha lkn hamsikii?!!
Nyie endeleeni kupenda kuloweka hovyo mtaisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umefanya research kama UTI humu zipo za kutosha?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha mawazo,Kama UNAHISI NI nguvu za Giza nenda kaombewe.na Kama NI UKIMWI, USIWAZE UNAPONA.NJOO PM.
KULA BATA,LAKINI UJIFUNZE
 
pole chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…