Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

Hongera mkuu dawa ya kupona umeme ni kupima tuu lasi hivyo depression inakuondoa kilaini sana.
 
Pole ilaaa utelezi umekutelezeshaa na tamaa za mwili zilizidi akili πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Hiyo tatoo nyuma ya makalio ilitosha kukwambia stop.

Ila hongera sana umepokea mkoba ishi nao kwa matumaini. Na hapo kinondoni hama mtaa kwani tayari ushaunganishwa kwenye gridi ogopa sana mtu anakujua unakaa wapi halafu wewe hujui pa kumpata.

Somo nililopata hapo ni kwamba usipende kuwapeleka nyumbani watu usiwo wajua mfano ungempeleka gesti ungekuwa salama
 


➑️➑️➑️ Hii obviously ni chai na huu ni ujumbe kwa ajili ya Siku ya UKIMWI duniani. Asante sana kwa ubunifu wako maana ujumbe wako umewafikia wengi tena kwa njia safi kabisa.

Mwalimu wako wa Fasihi anastahili tuzo!

Joanah, Demi, Gentlemen_. Bila shaka nyie mmesoma Cuba maana mliweza kuusoma mchezo mapema na kuing'amua chai na umotivesheno spika wa mleta mada πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΏβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…