Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Ni ukweli mtupu...wapi unawasiwasi napo mama

source: trust me joannah[emoji51]
Yaani Sina wasiwasi na comment yako umeandika Ukweli mtupu, mostly wanawake tukiwa in love tunasikiliza Sana wapenzi zetu,ndio maana mtu alipata Mwanamme mwenye akili anafanikiwa alipata mla unga anaweza hata na yeye kula..ndio mana nikasema UNA HOJA!
 
Huu ushauri wako wote ni Sawa na Tone la maji tu katika Bahari ya Mapenzi. HAKI YA MUNGU NYIE ACHENI TU 🚶
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…