Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Gily siunaona huyu mrembo kabisa
MIMI NATUMIA UDENDA WA KOBE
Kuna siku nilienda kununua biriani kwa shilole na vibebeo vyangu nikiwa home nikakuta mafuta ambayo huwa nayatia vanilla yameisha nikajikuta tu NATUMIA MCHUZI WA BIRIANI KUPIGA SELFIE and remember shilole anaweka pilipili😬
rs_600x600-130703124143-600.Gru.mh.070313.jpg
 
The way umemprogram mpenzi wako ndio tatizo namba moja kingine uoga uliopitiliza na kutokujiamini ile ya nikimkosa huyu siwezi mpata km huyu unaishia kuburuzwa buruzwa ovyo ovyo inabidi uwe na msimamo sometime unacho unasema Sina sio mda wote unatoa tu unatoa tu,
kwenye mahusiano kuna zile basic needs lazima ufahamu hilo. uwezo wako na mtu unae ingia nae kwenye mahusiano.
kama yeye hana kipato wewe baba lazima uhudumie idara zote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu jepesi tu hapo mbona Wala huna haja ya kuonana na Mungu nitakujibu mimi,Aliruhusu uzaliwe kwa kuwa anajua unaweza kupambana na changamoto za duniani,Ile kupambana tu ukachana Ile placenta basi ulikuwa umeshafuzu kozi
Nilivyokuwa dogo kama zangu hawakupenda kupiga story na mimi sababu maswali mengi ningekuuliza maswali zaidi lakini hua sipendi kusumbua watu
Najiuliza na kujijibu mwenyewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwakwel inafika stage mpk bado kdg nikufuru
Wacha nicheze na computer tu maana IT ni moja ya ndoto yangu

Kwanini? Mapenzi yaishe nini husababisha?

Mi simba wewe

[emoji23][emoji23][emoji23] Hata hamu ya kuyafanya cpatiii, nimekuwa zuzu wa kudindisha morning tu
Achana na mapenzi we kula mbunye tu
 
mbona una guna kikubwa hivyo ???wewe ni mwanaume Rijali kweli?Jf ina members wenye uwezo wa kumjua mtu the between line mwandiko wako haunyeshi kama kweli wewe ni mwanaume timilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu mtandao ni huru pia kama kuna mahali wameandika uandishi dume na jike nipe link nisome ili nisirudie makosa
Unasema😂
We dada wewe motoni upo vvip nilimaanisha nimejaribu kumwelewa ila sikufanikiwa
Achana na mapenzi fanya mambo mengine!
Sawa wazo jema
Usitake kumuambukia gono mtoto wa watu bhna 😂
Mm bikraaa wa kiume wewe 😁, wewe ndio umpe mtoto wa watu pangusa
Atembeze ubuyu pale uhasibu siyo?
Mwanangu hata kama hunipendi ila sio kwa utani huo 😂😂😂
 
Mkuu huu mtandao ni huru pia kama kuna mahali wameandika uandishi dume na jike nipe link nisome ili nisirudie makosa

We dada wewe motoni upo vvip nilimaanisha nimejaribu kumwelewa ila sikufanikiwa

Sawa wazo jema

Mm bikraaa wa kiume wewe 😁, wewe ndio umpe mtoto wa watu pangusa

Mwanangu hata kama hunipendi ila sio kwa utani huo 😂😂😂
😂😂😂 ujui kuwa sisi mabikra wakiume ndio tunaunganisha bao nne bila kupumzika?

Sikia chua 3000 nenda kariakoo tafuta mifuko ya ubuyu ile saizi ya 50 katembezw pale ubuyu wewe uza 50 tu kuna watu pale wanasubilia daladala midomo ina nuka ukiwauzia ubuyu 50 watakushukuru sana
1681675714669.png
 
Back
Top Bottom