Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Tena Mungu keshajidhihirisha kumuonyesha huyo sio Ila yye bado anakomaa nae...atulie atapata tu
Mungu mmhhhh mawazo yake yapo juuu sana
Ila pia anatuepusha na vitu vingi
Ila Mungu ameacha utumwani natamani nipate hata nusu saa tu nimwone tu nimuulize ni kwanini? Aliruhusu nizaliwe
 
kaka naomba nikuulize swali je unamhudumia huyo mdada, I mean Ile unampa 30,40,50 per mwezi?

muda mwingine shida zinaua sana mapenzi, anaweza akakupenda lakini shida zinafanya awe na fulani.
hii ni kweli kabisa changamoto za vipato kwa vijana zinachangia kwa kiasi kikubwa mahusiano ya mapenzi+ ndoa kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii ni kweli kabisa changamoto za vipato kwa vijana zinachangia kwa kiasi kikubwa mahusiano ya mapenzi+ ndoa kufa

Sent using Jamii Forums mobile app
The way umemprogram mpenzi wako ndio tatizo namba moja kingine uoga uliopitiliza na kutokujiamini ile ya nikimkosa huyu siwezi mpata km huyu unaishia kuburuzwa buruzwa ovyo ovyo inabidi uwe na msimamo sometime unacho unasema Sina sio mda wote unatoa tu unatoa tu,
 
Mungu mmhhhh mawazo yake yapo juuu sana
Ila pia anatuepusha na vitu vingi
Ila Mungu ameacha utumwani natamani nipate hata nusu saa tu nimwone tu nimuulize ni kwanini? Aliruhusu nizaliwe
Jibu jepesi tu hapo mbona Wala huna haja ya kuonana na Mungu nitakujibu mimi,Aliruhusu uzaliwe kwa kuwa anajua unaweza kupambana na changamoto za duniani,Ile kupambana tu ukachana Ile placenta basi ulikuwa umeshafuzu kozi
 
Gily anawaza mavi tu
Saa ngap?
bluepixelanimations-r4.jpg
 
Back
Top Bottom