To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
So badHata mimi☹️, huo ni mchezo hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So badHata mimi☹️, huo ni mchezo hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kitu kimoja napenda toka kwako...unajikubali sana.Nimefanyiwa magnification[emoji23][emoji119]
Kwanza atakuletea magonjwa huyo..hayo Mambo Mara mmeachana Mara mmerudiana Ni hatari Sana.....Kaza inawezekanaNimeliweka akilini na nitaanza lichukulia funzo ambalo nimeshindwa for more 4+ yrs
Sasa mfano me nita move on mpaka wapi..Jitahidi ku move on yaani hii ni dawa tosha kwenye mahusiano ambayo yapo dilemma, yaani kuna kipindi lazima mahusiano yayumbe na hapo unakuta mmoja mapenzi yamepungua au yameisha kabisa basii balaa ndio huwa linaanza hapo
Utafute sabb ya kumtoa moyoni...udanganye moyo wako tafuta sabb ambayo itakuchukiza kuhusu huyo dada..Kwenye maisha yangu sijawahi chukia mtu
Tutazame tu wakina Nandy huko🥺So bad
Ngoja nimuite mwalimu wa nyeto professor Johnnie Walker. Style zakeNimekuomba mpaka basi
Yaliyoandikwa yote Ni kweli[emoji848]unamaanisha nini
Ni ngumu jamani, au ajitahidi kukumbuka makosa ya huyo mtu ndio afanye kuwa sababu ndani ya moyo wakeUtafute sabb ya kumtoa moyoni...udanganye moyo wako tafuta sabb ambayo itakuchukiza kuhusu huyo dada..
Tatizo yupo deep kwenye shalow waterHahahahah hivi mnapataga wapi muda wa kuwa deep hivo...
Kina nandy tena?Tutazame tu wakina Nandy huko🥺
hiki ndicho kinachomtesa kijana hope atapita salama atakuja kumpata wake aliyosahihi atampenda/ watapendana na kusahau machungu yote. hayo atafanikiwa endapo akimshirikisha Mungu wake ampatie aliye sahihi kwake.Hapo mdogo wangu unachochea matatizo ya afya yako ya akili...Usiforce Mambo,likuepukalo Lina heri nawe.....Muache aendelee na Maisha yake duniani Kuna a lot of varieties Ni suala la muda tu.......usipate sonona usiku ukose usingizi kwa ajili ya mtu asiyejali maumivu yako
😂😂😂 Kwakwel inafika stage mpk bado kdg nikufuruMkuu unatakiwa utambue kwamba mapenzi hayakuumbiwa kila mtu.
Wewe huenda kipaji chako labda kipo kwenye kulima matikiti achana na mapenzi utakufa siku sio zako.
Kwanini? Mapenzi yaishe nini husababisha?Jitahidi ku move on yaani hii ni dawa tosha kwenye mahusiano ambayo yapo dilemma, yaani kuna kipindi lazima mahusiano yayumbe na hapo unakuta mmoja mapenzi yamepungua au yameisha kabisa basii balaa ndio huwa linaanza hapo
Mi simba weweMwanangu! We mwananchi eh?
😂😂😂 Hata hamu ya kuyafanya cpatiii, nimekuwa zuzu wa kudindisha morning tumapenzi ni kama kubet mkuu😂mi nshaacha ndo ivo nikipata mbunye mara mojamoja, mambo yanakaa swafi😂
Natumia asali mbichi mimi 😂😂Ngoja nimuite mwalimu wa nyeto professor Johnnie Walker. Style zake
1. Anapiga na mate au makamasi jina lake ni mzee wa mate 😬 akiiona tu anaitemea mate🤣
sifa zake atazimaliziq mwenyewe
Mungu ana namna ya kuzungumza na sisi tukiwa kwenye wrong relationship,red flag zote zinapepea Ila sis huwa tunakaza shingounpopular opinion, muda mwingine uombee mahusiano uliyonayo Mungu ayasimamie kama hayana kheri yayumbe yafe.
Kuna watu wanaclick vibaya mno unaona hadi unapata wivu, yani hawagombani wanaelewana Hadi sio poa....wakikwazana siku 2 wapo pamoja Ila kuna wengine unaharibu kila unapotaka kuonesha upendo.
Ila Mungu mwema, ni vile hatuoni kilakitu ila kunavitu unaweza kuona amekuepusha navyo ukalia sana.
Umemwambia kuwa unatembea na mavi kwenye kiberiti unanusa mda wote maana tetesi ni kuwa huwezi kula mzigo mpaka usikie harufu ya mavi😃Natumia asali mbichi mimi 😂😂
Et na wewe unamwambini huyo mpenda majokaSo bad