Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Najitahidi sana kucheka ila usiku ni majonzi

Kwanza atakuletea magonjwa huyo..hayo Mambo Mara mmeachana Mara mmerudiana Ni hatari Sana.....Kaza inawezekana
hii ya kuachana na kurudiana ni mbaya kweli maana inakuwa ni desturi yao wakielewana ni mwendo wa kuparamiani bila kucheck afya. yaani ni mbaya mimi namshauri tu aangalie mwelekeo mwingine. hapo hapamfai. yeye aamini tu sio fungu lake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ana namna ya kuzungumza na sisi tukiwa kwenye wrong relationship,red flag zote zinapepea Ila sis huwa tunakaza shingo
na sikuzote ukiwa hauhusiki red flags unaziona nje nje lakini ukiwa mhusika unapuuzia.

But miaka 4 ni mingi kusema huyo mdada asimpende jamaa, kutakuwa kunashida sehemu mainly financially labda bro hampi hela mdada ata kidogo.
 
kaka naomba nikuulize swali je unamhudumia huyo mdada, I mean Ile unampa 30,40,50 per mwezi?

muda mwingine shida zinaua sana mapenzi, anaweza akakupenda lakini shida zinafanya awe na fulani.
 
anza kujifunza sasa utakuja mshukuru huyo mdau aliyekushauri hivyo. chuki imegawanyika kwa nyanja tofauti. tafuta sababu ya yale maovu aliyokutendea.
tofauti na hapo utakuwa mtumwa wake miaka yote. hata ukimpenda mwingine utashindwa kumjali kwa kumwaza huyo ex wako.

lakini nahisi wewe ni kijana mdogo mbana pua hivi nwenye sauti nyembamba yaani kamwanaume flani hivi kaoga kasicho jiamini. kikimkosa huyo mtoto ndo basi tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli kwamba ninasauti ndogo ninajua kuwa maisha ynaweza songa but bila furaha
Nimekuwa kwenye mahucsiano ila tukirudiana wale wanawake naona kama wananibana sana yani siwajali sababu wao wanamapungufu mengi kuliko huyu
Utafute sabb ya kumtoa moyoni...udanganye moyo wako tafuta sabb ambayo itakuchukiza kuhusu huyo dada..
Sawaaa
Ngoja nimuite mwalimu wa nyeto professor Johnnie Walker. Style zake
1. Anapiga na mate au makamasi jina lake ni mzee wa mate 😬 akiiona tu anaitemea mate🤣


sifa zake atazimaliziq mwenyewe
Mm na nyeto hapana mkuu
Nitajie hata jina mm nitaenda Google hivi ni mara ya ngap nakubembeleza chaga boy wewe
unpopular opinion, muda mwingine uombee mahusiano uliyonayo Mungu ayasimamie kama hayana kheri yayumbe yafe.

Kuna watu wanaclick vibaya mno unaona hadi unapata wivu, yani hawagombani wanaelewana Hadi sio poa....wakikwazana siku 2 wapo pamoja Ila kuna wengine unaharibu kila unapotaka kuonesha upendo.

Ila Mungu mwema, ni vile hatuoni kilakitu ila kunavitu unaweza kuona amekuepusha navyo ukalia sana.
Sawa
Ni ngumu jamani, au ajitahidi kukumbuka makosa ya huyo mtu ndio afanye kuwa sababu ndani ya moyo wake
Et kusema kuwa kaninunia hapa hajawai nitukana, hajawai ninunia ila toka sio lazima uambiwe
 
Hahaha wanawake wakikupenda huwa wanapokea chochote unachowapa kwenye akili yao...yaan akili yake unaingoza wewe yeye anabaki anatumia hisia tu.[emoji23]
Oooooky.... kumbe sasa hapa ngoja nikafanye kweli... Sema hawa wa huku kwetu hawapendi kwa navoona mbona wajanja wajanja hivi ?
 
kaka naomba nikuulize swali je unamhudumia huyo mdada, I mean Ile unampa 30,40,50 per mwezi?

muda mwingine shida zinaua sana mapenzi, anaweza akakupenda lakini shida zinafanya awe na fulani.
Pesa sio suluhisho kwanza pesa haikati kiu, namaanisha ipo siku zitaisha mtapalangana
 
hiki ndicho kinachomtesa kijana hope atapita salama atakuja kumpata wake aliyosahihi atampenda/ watapendana na kusahau machungu yote. hayo atafanikiwa endapo akimshirikisha Mungu wake ampatie aliye sahihi kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tena Mungu keshajidhihirisha kumuonyesha huyo sio Ila yye bado anakomaa nae...atulie atapata tu
 
hii ya kuachana na kurudiana ni mbaya kweli maana inakuwa ni desturi yao wakielewana ni mwendo wa kuparamiani bila kucheck afya. yaani ni mbaya mimi namshauri tu aangalie mwelekeo mwingine. hapo hapamfai. yeye aamini tu sio fungu lake

Sent using Jamii Forums mobile app
Akubali tu maneno ya wahenga kisicho riziki hakiliki.......yeye anaweza dhani anamvumilia kumbe Kuna tofauti Kati ya kuvumilia na kupoteza muda.....
 
kumbe ipo hivo mkuu... labda sahizi nipo na mtu sahihi maana anaappreciate kile kidogo anachopewa, na nikikosa fresh tu.
Ukikosa anakupa akikosa unampa hayo ndio mapenzi ogopa mapenzi yanayoegemea upande mmoja ndio uwe unatoa tu unatoa tu yaan hapo kupalangana mda sio mrefu mavumba yakikata lazima mpalangane Ila km mlizoeshana ukiwa na 100,000 unampa akiwa na 100,000 anakupa aaah mtafika mbali saaana niamini mimi,
 
Back
Top Bottom