Najitolea kwa hiari na upendo mkubwa kumpigia kampeni Rais Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

Najitolea kwa hiari na upendo mkubwa kumpigia kampeni Rais Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Ndiyo ndugu zangu Watanzania, naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu.

Ni kwa sababu za kiuzalendo, upendo wadhati, hekima niliyonayo, uelewa mkubwa nilionao, na kutambua Mchango, uwezo na weledi mkubwa mkubwa alionao Rais wetu mpendwa

Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo.

Utumishi uliotukuka.

Mimi Mtanzania Mzalendo.
+255714547275
CCM No: 000028433361
Nida: 19750223231140000121
 
Una strength gani? Umesema sababu, ni nzuri, una umaalum gani?
 
Ndiyo ndugu zangu watanzania

Ni kwasababu za kiuzalendo
Ni kwasababu za upendo wadhati
Ni kwasababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu

Najitolea kumpigia kampeni.Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
Samoa, kisiwani?! Kila la kheri!
 
Ndiyo ndugu zangu watanzania
Naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti

Ni kwasababu za kiuzalendo
Ni kwasababu za upendo wadhati
Ni kwasababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu

Najitolea kumpigia kampeni.Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
Subiri wakati wa kampeni ukianza ndio uje na sababu hizi. Sasa hivi tunachapa kazi, kaa kando, ajenda iliopo mezani bado ni Dpw.
 
.....CHAWA Utawajua TU !...[emoji57][emoji57]
 
Jibu kwanza Kama bandari
imeuzwa imekodishwa au imetolewa bure Kwa miaka minga Mtangulizi wake aliyema atakayesaini Mkataba wwa Miaka99 ni kichaa
 
Ndiyo ndugu zangu watanzania
Naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti

Ni kwasababu za kiuzalendo
Ni kwasababu za upendo wadhati
Ni kwasababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu

Najitolea kumpigia kampeni.Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
Tuko wengi tutasimama Kwa roho na mwili kumpigania mama
 
Subiri wakati wa kampeni ukianza ndio uje na sababu hizi. Sasa hivi tunachapa kazi, kaa kando, ajenda iliopo mezani bado ni Dpw.
Nyie mnachapa kazi au mnaropoka tu kama mmepatwa na mapepo?

Hatuwezi kunyamaza wakati mnamchafua Mama
 
Umetumwa? Umejituma? au umetumana?

Kumwongezea mtu chakula wakati Bado sahani imejaa huoni kuwa unataka avimbiwe?

Amalizie KAZI kwanza aliyokaimishwa Kwa muda, Kisha waajiri wataona ikiwa anastahili kuongezewa majukumu au la!!!!🙏🙏🙏
 
Nyie mnachapa kazi au mnaropoka tu kama mmepatwa na mapepo?

Hatuwezi kunyamaza wakati mnamchafua Mama
Msafishe sa100 kwa hoja ya Dpw. Wee! umeona busara kuacha kumaliza hoja ya Dpw badala yake kuanzisha kampeni za 2025. Hilo pepo la uchaguzi limekuingia mapema hivi mpaka unaweweseka.
 
Ndiyo ndugu zangu watanzania
Naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu

Ni kwa sababu za kiuzalendo
Ni kwa sababu za upendo wadhati
Ni kwa sababu za hekima niliyonayo

Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu

Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo

Mimi Mtanzania Mzalendo
+255714547275
CCM No: 000028433361
Nida: 19750223231140000121
Umezaliwa mwaka 1975. Ina maana sasa hivi una miaka 48.

Ni vizuri umeweka details zako wazi. Wasipokukumbuka kwenye teuzi ndo badi tena!

Kila la heri mkuu
 
Hapo kwenye kuandika Namba za simu umefanya Jambo jema sn.

Subiri uteuzi.
 
Ungekua na uzarendo na upendo na nchi yako usingekua mwana ccm, toa njaa zako hapa....
 
Back
Top Bottom