Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Samoa, kisiwani?! Kila la kheri!Ndiyo ndugu zangu watanzania
Ni kwasababu za kiuzalendo
Ni kwasababu za upendo wadhati
Ni kwasababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu
Najitolea kumpigia kampeni.Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
Subiri wakati wa kampeni ukianza ndio uje na sababu hizi. Sasa hivi tunachapa kazi, kaa kando, ajenda iliopo mezani bado ni Dpw.Ndiyo ndugu zangu watanzania
Naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti
Ni kwasababu za kiuzalendo
Ni kwasababu za upendo wadhati
Ni kwasababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu
Najitolea kumpigia kampeni.Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
.....CHAWA Utawajua TU !...[emoji57][emoji57]Ndiyo ndugu zangu watanzania
Naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti
Ni kwasababu za kiuzalendo
Ni kwasababu za upendo wadhati
Ni kwasababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu
Najitolea kumpigia kampeni.Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
Tuko wengi tutasimama Kwa roho na mwili kumpigania mamaNdiyo ndugu zangu watanzania
Naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti
Ni kwasababu za kiuzalendo
Ni kwasababu za upendo wadhati
Ni kwasababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu
Najitolea kumpigia kampeni.Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
Nani kasema Bandaei imeuzwa?Jibu kwanza Kama bandari
imeuzwa imekodishwa au imetolewa bure Kwa miaka minga Mtangulizi wake aliyema atakayesaini Mkataba wwa Miaka99 ni kichaa
Unaumia ukiwa wapi?.....CHAWA Utawajua TU !...[emoji57][emoji57]
Nyie mnachapa kazi au mnaropoka tu kama mmepatwa na mapepo?Subiri wakati wa kampeni ukianza ndio uje na sababu hizi. Sasa hivi tunachapa kazi, kaa kando, ajenda iliopo mezani bado ni Dpw.
Samia ni Rais wa TanzaniaSamoa, kisiwani?! Kila la kheri!
Mm na Watanganyika ok haijauzwa imekodishwa au imetolewa bure ten sio bandari tu mabandari yote Hadi za nchi kavu kwani we hujui EPZ NA Trabsport cooridorNani kasema Bandaei imeuzwa?
Hayo ni mawazo yakoMm na Watanganyika ok haijauzwa imekodishwa au imetolewa bure ten sio bandari tu mabandari yote Hadi za nchi kavu kwani we hujui EPZ NA Trabsport cooridor
Msafishe sa100 kwa hoja ya Dpw. Wee! umeona busara kuacha kumaliza hoja ya Dpw badala yake kuanzisha kampeni za 2025. Hilo pepo la uchaguzi limekuingia mapema hivi mpaka unaweweseka.Nyie mnachapa kazi au mnaropoka tu kama mmepatwa na mapepo?
Hatuwezi kunyamaza wakati mnamchafua Mama
Kampeni mmeanzisha nyie tena kampeni chafuMsafishe sa100 kwa hoja ya Dpw. Wee! umeona busara kuacha kumaliza hoja ya Dpw badala yake kuanzisha kampeni za 2025. Hilo pepo la uchaguzi limekuingia mapema hivi mpaka unaweweseka.
Umezaliwa mwaka 1975. Ina maana sasa hivi una miaka 48.Ndiyo ndugu zangu watanzania
Naam hii ndiyo ahadi yangu thabiti mbele yenu
Ni kwa sababu za kiuzalendo
Ni kwa sababu za upendo wadhati
Ni kwa sababu za hekima niliyonayo
Ni kwasababu ya uelewa mkubwa nilionao
Ni kwa kutambua Mchango na uwezo mkubwa alionao Rais wetu
Najitolea kumpigia kampeni Mama Samia aendelee kuongoza awamu ijayo
Mimi Mtanzania Mzalendo
+255714547275
CCM No: 000028433361
Nida: 19750223231140000121